SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
The media went for the story!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali yao dhidi ya West Germany ni moja kati ya mechi zenye utata katika historia ya soka, kwa kifupi England alibebwa na ndio maana haishangazi mpk sasa ni taji pekee kubwa la kimataifa kuwahi kulitwaaThe media went for the story! View attachment 1960445
Kushinda ile ya Italy na south Korea world cup ya mwaka 2002???????Fainali yao dhidi ya West Germany ni moja kati ya mechi zenye utata katika historia ya soka, kwa kifupi England alibebwa na ndio maana haishangazi mpk sasa ni taji pekee kubwa la kimataifa kuwahi kulitwaa
Mkuu hebu tafuta taarifa kuhusu mechi ya Fainali ya World Cup 1966 afu urudi tena hapaKushinda ile ya Italy na south Korea world cup ya mwaka 2002???????
Sawa.Mkuu hebu tafuta taarifa kuhusu mechi ya Fainali ya World Cup 1966 afu urudi tena hapa