Kwa kweli ni "ego" ilitumika kuliko uhalisia.Kum replace Juma Abdul kwa Kibwana Shomari ni kituko cha mwaka...wote wawili walitakiwa wawepo kikosini ili Kibwana aendelee kujifunza kutoka kwa Juma Abdul pia kucheza game zinazo hitaji uzoefu...kwani kuna vingi Kibwana hana na angeweza kuvipata through Juma Abdul...nadhani ni ego tu ya viongozi wa Yanga ndo imewafanya wamuache.
Kuhusu Yondani...no comment kwa kweli.
Na hawa kina kibwana na yasin wakikutana na timu nzuri mtapigwa nyingi sana. Wanajisahahu sanaKwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Sasa mbona kimataifa tunakuwa mdebwedo goli 5,4,6 huwa ni aibu tu?Beki ya Yanga ipo vizuri. ni wakati sasa wabongo tuache kudhani hizi timu kama mtibwa, prisons, kmc hazina wachezaji wazuri. Hizi timu nazo ni nzuri na zinaweza kutoa ushindani ligi yeyote Africa mashariki na kati.
Mambo ya Simba na yanga kuzifunga 6 au 7 yamepitwa na wakati.
Hawana timu kwa msimu huuKwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Hoja sio kucheza mpira tu,nidhamu hana,unajua juma abdul alikuwa anauza timu?Kum replace Juma Abdul kwa Kibwana Shomari ni kituko cha mwaka...wote wawili walitakiwa wawepo kikosini ili Kibwana aendelee kujifunza kutoka kwa Juma Abdul pia kucheza game zinazo hitaji uzoefu...kwani kuna vingi Kibwana hana na angeweza kuvipata through Juma Abdul...nadhani ni ego tu ya viongozi wa Yanga ndo imewafanya wamuache.
Kuhusu Yondani...no comment kwa kweli.
Kwenye dirisha dogo wanaweza kupata timuNaimani watapata timu nzuri tu, bado wanaweza
Sio udaku,ni kweli na walihojiwa na uongozi wa yanga kwa ushahidi,wakakiri basi qalaachwa tuHa ha ha ha, ehe, ebu nipe hiyo habari mkuu?
Isijekuwa na maneno ya 'hearsay'
Unaweza kuprove hilo? na kama ishu ingekua ni kuuza mechi why bargains?Hoja sio kucheza mpira tu,nidhamu hana,unajua juma abdul alikuwa anauza timu?
Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupiganaUnaweza kuprove hilo? na kama ishu ingekua ni kuuza mechi why bargains?
Si wangemuacha tu...sasa mambo ya "ooh! Tutakulipa mshara tu hatutakupa hela ya usajili" yalitoka wapi? Kubargain na msaliti wa kuuza mechi kweli? Hebu thibitisha hilo pasi na shaka mkuu maana ni tuhuma nzito sana.