Juma Abdul na Yondani wapo wapi?

Juma Abdul na Yondani wapo wapi?

logframe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,242
Reaction score
5,543
Kwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
 
Kum replace Juma Abdul kwa Kibwana Shomari ni kituko cha mwaka...wote wawili walitakiwa wawepo kikosini ili Kibwana aendelee kujifunza kutoka kwa Juma Abdul pia kucheza game zinazo hitaji uzoefu...kwani kuna vingi Kibwana hana na angeweza kuvipata through Juma Abdul...nadhani ni ego tu ya viongozi wa Yanga ndo imewafanya wamuache.

Kuhusu Yondani...no comment kwa kweli.
 
Kwa kweli ni "ego" ilitumika kuliko uhalisia.
 
Beki ya Yanga ipo vizuri. ni wakati sasa wabongo tuache kudhani hizi timu kama mtibwa, prisons, kmc hazina wachezaji wazuri. Hizi timu nazo ni nzuri na zinaweza kutoa ushindani ligi yeyote Africa mashariki na kati.
Mambo ya Simba na yanga kuzifunga 6 au 7 yamepitwa na wakati.
 
Sasa mbona kimataifa tunakuwa mdebwedo goli 5,4,6 huwa ni aibu tu?
 
Naona jibu la JUMA ABDUL NA YONDANI wapo wapi hilo bado halijajibiwa..nami nataka kujua hawa watu wapo vilabu gani kwasasa au ndo wametundika Daluga
 
Jamaa wamekuwa kimya mno...
 
Kum replace Juma Abdul kwa Kibwana Shomari ni kituko cha mwaka...wote wawili walitakiwa wawepo kikosini ili Kibwana aendelee kujifunza kutoka kwa Juma Abdul pia kucheza game zinazo hitaji uzoefu...kwani kuna vingi Kibwana hana na angeweza kuvipata through Juma Abdul...nadhani ni ego tu ya viongozi wa Yanga ndo imewafanya wamuache.

Kuhusu Yondani...no comment kwa kweli.
Hoja sio kucheza mpira tu,nidhamu hana,unajua juma abdul alikuwa anauza timu?
 
ila uongozi wa yanga walicho wafanyia juma abdul na yondani si sawa hata kidogo na kibaya zaidi saizi wameanza kuwasingizia maneno ya uongo....
 
Hoja sio kucheza mpira tu,nidhamu hana,unajua juma abdul alikuwa anauza timu?
Unaweza kuprove hilo? na kama ishu ingekua ni kuuza mechi why bargains?
Si wangemuacha tu...sasa mambo ya "ooh! Tutakulipa mshara tu hatutakupa hela ya usajili" yalitoka wapi? Kubargain na msaliti wa kuuza mechi kweli? Hebu thibitisha hilo pasi na shaka mkuu maana ni tuhuma nzito sana.
 
Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
 
Back
Top Bottom