fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kwenye mechi hiyo,karudie kuingalia upya,mtizama kwa makini yondani alifanya nini,juma abdul alifanya nini,na papii shishimbi alifanya niniDaah kwahiyo ukute siku ile Mikia wametudhalilisha pale kwa Mkapa ndo ukute ilkuwa hivi?
Yanga wanashangaza Sana. Sasa Deus Kaseke ndo anakua mbadala wa Juma Abdul, sababu tu ni mshambuliaji basi atakua anapanda mbele.Kwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Wewe ni kocha?,unaujua mpira unachezwaje?Yanga wanashangaza Sana. Sasa Deus Kaseke ndo anakua mbadala wa Juma Abdul, sababu tu ni mshambuliaji basi atakua anapanda mbele.
Si kweli. Hawakuachwa kwa sababu eti walikiri kuuza timu, ila Yanga ilitaka iwape mikataba mipya bila kuwepo kwa signing fee. Kama sababu ni hiyo ya kuuza timu, kwa nini sasa Yanga iliwaandalia mikataba mipya?Sio udaku, ni kweli na walihojiwa na uongozi wa yanga kwa ushahidi, wakakiri basi qalaachwa tu
Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tuSi kweli. Hawakuachwa kwa sababu eti walikiri kuuza timu, ila Yanga ilitaka iwape mikataba mipya bila kuwepo kwa signing fee. Kama sababu ni hiyo ya kuuza timu, kwa nini sasa Yanga iliwaandalia mikataba mipya?
Na mimi sijasema lazima iwepo, ila nilichosema ni kukanusha sababu ya kuwaacha hao wachezaji. Wao walitaka walipwe signing fee, Yanga ikakataa ikasema wasubiri mishahara tu, wakaachwa. Nakanusha hiyo sababu ya kuuza mechi, hata kama walikuwa wanauza, lakini haikuwa sababu ya kuwaachaHakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Sababu ya kuwaacha ni kuuza timu,na walioneshwa ushahidi ndio maana wamenyamaza kimyaNa mimi sijasema lazima iwepo, ila nilichosema ni kukanusha sababu ya kuwaacha hao wachezaji. Wao walitaka walipwe signing fee, Yanga ikakataa ikasema wasubiri mishahara tu, wakaachwa. Nakanusha hiyo sababu ya kuuza mechi, hata kama walikuwa wanauza, lakini haikuwa sababu ya kuwaacha
Hizo no mbinu nyingine ukiachana na Moira wenyewe, Kuna baadhi ya both vidogo vidogo vinavyofanya timu ngeni ipoteze mwelekeo.Sasa mbona kimataifa tunakuwa mdebwedo goli 5,4,6 huwa ni aibu tu?
ni member wa mda mrefu ila unaandika utopolo tuu.Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
Sababu ya kuwaacha ni kuuza timu,na walioneshwa ushahidi ndio maana wamenyamaza kimya
Yaani mnazidi kumpa sifa Eymael hawa wote waliachwa baada ya kutokubaliana kimaslahi na yanga wala sio issue ya kuuza timuSio udaku,ni kweli na walihojiwa na uongozi wa yanga kwa ushahidi,wakakiri basi qalaachwa tu
We nyani acha uongo yondani aliingia mwishoni hamtaki kukubali timu yenu mbovuKwenye mechi hiyo,karudie kuingalia upya,mtizama kwa makini yondani alifanya nini,juma abdul alifanya nini,na papii shishimbi alifanya nini
Mbona mlimwekea Morison pesa kwenye akaunti yake nyie uneducatedHakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Sawa,Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Wewe ni kocha? Unaujua mpira unachezwaje?Wewe ni kocha?,unaujua mpira unachezwaje?
mara umehamia kwa kagere.Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
Kagere hapangwi kabla ya tetesi za kupigana...kuhusu kuuza mechi hakuna ulichoprove Zaidi ya kuendelea kuleta tetesi tu...anyways tuishie hapa tu.Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
Unafikiri hajui? Basi tu kashaamua anavyofikiria yeye ndo iwe kweli...hapo mtakesha tu hata uweke mini.