Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Shida ya maji ipo maeneo mengi sana.Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji.
Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno.
Njoo Chato ujionee mwenyewe.
Nadhaji ujumbe sahihi kwake ni JIUZULU ili webye uwezo wafanye. Ataenda wapi na wapi? Hapo Mwanza, maeneo mengi leo ni mwezi maji hayatoki.Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji.
Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno.
Njoo Chato ujionee mwenyewe.
"Nani kama mama piga makofi kwa mama Samia" Juma Aweso mbunge wa Pangani ndio msemo wake huku Pangani kume baki alivyoacha mjerumani na Abushiri. Karne mbili zilizo pita.Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji.
Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno.
Njoo Chato ujionee mwenyewe.
Kuna haja ya fikra za wananchi kubadilika kuanzia ngazi ya mtu mmoja hadi taifa.
Hakuna sababu ya kusubiri serikali kuu iwajengee miradi ya maji watu wanaoishi kando ya mito au maziwa.
Mtu binafsi, mtaa, kijiji,... unaweza kuweka pump, weka tenki kilimani ukaanza kutumia maji.
Kama ni au kijiji, wananchi wachange kidogo na wengine nguvu zao. Hii ilfanyika, huku wakisubiria miradi mikubwa ya serikali kuu.
In the abundance of water fools are thirsty.
Mamlaka za mabonde hazina maana kama wananchi hawapati maji na hazina uhalali wa kuzuia matumizi.
Kama ni hivyo basi serikali ingeanza kwa kuwafutia kodi wakazi wote wa maeneo kama hayo ili wafanye unacho shauriKuna haja ya fikra za wananchi kubadilika kuanzia ngazi ya mtu mmoja hadi taifa.
Hakuna sababu ya kusubiri serikali kuu iwajengee miradi ya maji watu wanaoishi kando ya mito au maziwa.
Mtu binafsi, mtaa, kijiji,... unaweza kuweka pump, weka tenki kilimani ukaanza kutumia maji.
Kama ni au kijiji, wananchi wachange kidogo na wengine nguvu zao. Hii ilfanyika, huku wakisubiria miradi mikubwa ya serikali kuu.
In the abundance of water fools are thirsty.
Mamlaka za mabonde hazina maana kama wananchi hawapati maji na hazina uhalali wa kuzuia matumizi.
Kodi haihalalishi mateso kwa wananchi.Kama ni hivyo basi serikali ingeanza kwa kuwafutia kodi wakazi wote wa maeneo kama hayo ili wafanye unacho shauri