Attention seekers on the beat."Nimeziona jezi mpya za Yanga, huyu Ngowi akamatwe, zile jezi ni balaa tupu. Yanga mmetisha sana." Juma Ayo
Je, kwanini timu zingine zisijifunze kwa Yanga since maendeleo hayana Chama?
View attachment 2675049
Upo nyuma ya wakati mkuuNi jezi za Yanga au GSM? Maana taarifa zinaonyesha Yanga inapata gawio la sh. 1,300/= tu, na zinazobaki huwa jamaa anachukua
Chukwu emeka vipi, bado hujapewa goodbye pale Chelsea?Upuuzi tu, kutafuta popularity Kwa jina la Yanga