Juma Ayo: Kwa jezi hizi mpya za Yanga Sheria Ngowi akamatwe

Ni jezi za Yanga au GSM? Maana taarifa zinaonyesha Yanga inapata gawio la sh. 1,300/= tu, na zinazobaki huwa jamaa anachukua
Sasa si bora hata Yanga wanaambulia chochote! Nyinyi kwa upande wenu Mhindi anachukua kila kitu! Jezi ukinunua hata kuvalika haivaliki, kutokana na kuchafuliwa na matangaza ya bidhaa zake! Na bado analalamika hadharani kupata hasara!! Na mnaamini.
 
Simba haijampa muhindi yeyote biashara ya jezi. Vunjabei na Sandaland wote ni wamatumbi wenzetu, Vunjabei alilipa sh. 1B kwa mwaka, Sandaland analipa 2B kwa mwaka, msala wanabaki nao wao kukazana kuziuza ziwarejeshee faida. Hakuna cha sijui sh. 1300/= kwa kila jezi, ni cash halafu uza mwenyewe
 
Na Mhindi wenu naye analipia shilingi ngapi za matangazo kwenye hizo jezi! Au ndiyo anakata kidogo kidogo kwenye zile bilioni 20?
 
Simba haijampa muhindi yeyote biashara ya jezi. Vunjabei na Sandaland wote ni wamatumbi wenzetu, Vunjabei alilipa sh. 1B kwa mwaka, Sandaland analipa 2B kwa mwaka, msala wanabaki nao wao kukazana kuziuza ziwarejeshee faida. Hakuna cha sijui sh. 1300/= kwa kila jezi, ni cash halafu uza mwenyewe
Pesa ya mudi ile

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sasa si bora hata Yanga wanaambulia chochote! Nyinyi kwa upande wenu Mhindi anachukua kila kitu! Jezi ukinunua hata kuvalika haivaliki, kutokana na kuchafuliwa na matangaza ya bidhaa zake! Na bado analalamika hadharani kupata hasara!! Na mnaamini.
Hivi kwa haraka haraka tu, unadhani kuendesha klabu cha soka kuna faida ya fedha kwa hapa bongo?
 
Back
Top Bottom