Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
GSM ni mtu wa vitendo zaidiUpo nyuma ya wakati mkuuView attachment 2675177
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSM ni mtu wa vitendo zaidiUpo nyuma ya wakati mkuuView attachment 2675177
Sasa si bora hata Yanga wanaambulia chochote! Nyinyi kwa upande wenu Mhindi anachukua kila kitu! Jezi ukinunua hata kuvalika haivaliki, kutokana na kuchafuliwa na matangaza ya bidhaa zake! Na bado analalamika hadharani kupata hasara!! Na mnaamini.Ni jezi za Yanga au GSM? Maana taarifa zinaonyesha Yanga inapata gawio la sh. 1,300/= tu, na zinazobaki huwa jamaa anachukua
Simba haijampa muhindi yeyote biashara ya jezi. Vunjabei na Sandaland wote ni wamatumbi wenzetu, Vunjabei alilipa sh. 1B kwa mwaka, Sandaland analipa 2B kwa mwaka, msala wanabaki nao wao kukazana kuziuza ziwarejeshee faida. Hakuna cha sijui sh. 1300/= kwa kila jezi, ni cash halafu uza mwenyeweSasa si bora hata Yanga wanaambulia chochote! Nyinyi kwa upande wenu Mhindi anachukua kila kitu! Jezi ukinunua hata kuvalika haivaliki, kutokana na kuchafuliwa na matangaza ya bidhaa zake! Na bado analalamika hadharani kupata hasara!! Na mnaamini.
Na Mhindi wenu naye analipia shilingi ngapi za matangazo kwenye hizo jezi! Au ndiyo anakata kidogo kidogo kwenye zile bilioni 20?Simba haijampa muhindi yeyote biashara ya jezi. Vunjabei na Sandaland wote ni wamatumbi wenzetu, Vunjabei alilipa sh. 1B kwa mwaka, Sandaland analipa 2B kwa mwaka, msala wanabaki nao wao kukazana kuziuza ziwarejeshee faida. Hakuna cha sijui sh. 1300/= kwa kila jezi, ni cash halafu uza mwenyewe
Ambapo mkataba na mnachotakiwa kuchukua ni vitu viwili tofauti au sioHuu ni mkataba mkuu
Pesa ya mudi ileSimba haijampa muhindi yeyote biashara ya jezi. Vunjabei na Sandaland wote ni wamatumbi wenzetu, Vunjabei alilipa sh. 1B kwa mwaka, Sandaland analipa 2B kwa mwaka, msala wanabaki nao wao kukazana kuziuza ziwarejeshee faida. Hakuna cha sijui sh. 1300/= kwa kila jezi, ni cash halafu uza mwenyewe
Kivp bossKwa hiyo mwakani yanga wanacheza na suti kama ya Ngowi.
Hazionekani jezi zaidi ya mtu kavaa suti.
Wewe ni me au ke maana huelewekiHakuna jipya
Hivi kwa haraka haraka tu, unadhani kuendesha klabu cha soka kuna faida ya fedha kwa hapa bongo?Sasa si bora hata Yanga wanaambulia chochote! Nyinyi kwa upande wenu Mhindi anachukua kila kitu! Jezi ukinunua hata kuvalika haivaliki, kutokana na kuchafuliwa na matangaza ya bidhaa zake! Na bado analalamika hadharani kupata hasara!! Na mnaamini.
Yanga imepata faida ya Tsh 500M kwa msimu uliyopita! au walitudanganya?Hivi kwa haraka haraka tu, unadhani kuendesha klabu cha soka kuna faida ya fedha kwa hapa bongo?
Faida gani wakati kwenye taarifa wameficha madeni wanayodaiwa na Luc Eymael pamoja na wale Wacongo wanaoendelea kushinikiza kuvunjiwa mikataba?Yanga imepata faida ya Tsh 500M kwa msimu uliyopita! au walitudanganya?
Mkuu, unapingana na taarifa rasmi ya club?Faida gani wakati kwenye taarifa wameficha madeni wanayodaiwa na Luc Eymael pamoja na wale Wacongo wanaoendelea kushinikiza kuvunjiwa mikataba?