Juma Ayo: Simba labda waombe uwanja wa CCM Kirumba Mwanza siyo Zanzibar

SIMBA WASIKUBALIWE KUTUMIA UWANJA WA AMAAN

Bodi ya Ligi isiruhusu hili Zanzibar Wana ligi yao na wanautumia huo uwanja kwenye michezo ya ligi kuu ya Zanzibar

Bado hakuna muungano kwenye michezo ndiyo maana Kuna wizara 2 huko Zanzibar na huku bara ,ndio maana michezo bado inazikutanisha timu za bara na Znz kwenye michuano mbalimbali.

Kanuni za Ligi kuu zinahitaji timu kutumia uwanja au viwanja vilivyoanishwa na kukaguliwa na kamati ya leseni ya vilabu kwa Tanzania bara.
Nani atavisafirisha klabu kutoka huku Bara kwenda Zanzibar? Gharama za kuishi huko?

Tuache masihara na ligi .....Simba wachague hata Kirumba lakini sioni mantic ya kuomba mechi kwenda Zanzibar

Je mapato ya FA itachukuliwa na ZFF au TFF?

Ameandika Juma Ayo kuhusu klabu ya Simba kutaka kutumia uwanja wa New Amaan Zanzibar.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi unajua au anajua au mnajua kuwa katika nchi hii Simba na Yanga ndiyo Timu pekee ambazo zina Nguvu na Maamuzi kuliko hata TFF na Serikali inaziogopa kwakuwa zina Ushawishi mkubwa hata katika Siasa za Tanzania kuanzia Marais na Watendaji wake?

Si Simba SC hata Yanga SC nayo ikiamua kuhamishia Mechi zake za Ligi huko Zanzibar hakuna Mpumbavu yoyote kutoka sijui TFF au Wizarani ambaye atakuwa na Ubavu wa Kuwazuia hata kama sijui wanakiuka Kanuni na kwamba Muungano wetu hautuunganishi katika Suala la Ligi Kuu zetu na matumizi ya Viwanja vyao Zanzibar na vyetu huku Bara.
 
Hilo ni kweli ...hizi timu Zina impact kubwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba kwenda Zanzibar ni karibu kuliko Mwanza,hata mambo ya kiofisi Zanzibar mtu anaenda na kurudi, Kirumba ni mbali sana na uwanja wa Amaan ni mzuri kuliko Kirumba.

Lakini tatizo gharama itakuwa kubwa kwa timu hizi ndogo ndogo kwenda Zanzibar mfano Mashujaa kama wanatumia basi inabidi watoke Kigoma halafu walale Dar ndo wapande boti,halafu bado gharama za mahoteli Zanzibar zipo juu sana, timu kama Kagera na Mashujaa zitatembea siku mbili halafu wacheze mechi ni changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rangi halisi za viongozi wa Simba zitaonekana wakati uchaguzi mkuu ukikaribia, wengi wapo hapo kwa ajili ya kujitangaza kisiasa.
Mkutano wao mkuu hawakuzungumzia mipango yoyote ya kujenga uwanja badala yake pesa walizopata kwa jasho la washabiki wa Simba kwa lengo la kujenga uwanja wametumia kwa matumizi yasiyoeleweka Kama kujenga uzio na kambi ya timu.
Maceo wenye vision wangezungumzia mipango ya timu Kama kujenga uwanja lakini yeye anazungumzia magroup ya WhatsApp .
 
Unakumbuka juzi ulileta uzi wa mwanasheria wa Yanga aliyetoa ushauri wa kuunganisha TFF na ZFF na kuwa na ligi moja na mimi nikasema ni moja ya mawazo ya hovyo. Hii ni moja ya sababu za kupinga jambo hilo maana halitekelezeki.

Simba imekaa kinyonge sana wakati mwingine. Hivi pamoja na kujipendekeza kote kwa wanasiasa, viongozi wameshindwa kushawishi mamlaka husika ili Simba iendelee kutumia uwanja wa Mkapa hata kipindi cha marekebisho?
Haya ndio mafanikio ya Simba.😀😀
 
Attachments

  • 1706337018288.jpg
    1706337018288.jpg
    29.5 KB · Views: 2
Hivi unajua au anajua au mnajua kuwa katika nchi hii Simba na Yanga ndiyo Timu pekee ambazo zina Nguvu na Maamuzi kuliko hata TFF na Serikali inaziogopa kwakuwa zina Ushawishi mkubwa hata katika Siasa za Tanzania kuanzia Marais na Watendaji wake?

Si Simba SC hata Yanga SC nayo ikiamua kuhamishia Mechi zake za Ligi huko Zanzibar hakuna Mpumbavu yoyote kutoka sijui TFF au Wizarani ambaye atakuwa na Ubavu wa Kuwazuia hata kama sijui wanakiuka Kanuni na kwamba Muungano wetu hautuunganishi katika Suala la Ligi Kuu zetu na matumizi ya Viwanja vyao Zanzibar na vyetu huku Bara.
Mbona zinashiriki mapinduzi cup Bila kupenda?
 
Mapinduzi Cup inaandaliwa na TFF au ZFA? Sera za Mapinduzi Cup ni sawa na za Premier League na ASFC?

Kanuni za Mapinduzi Cup ni sawa na za NBC Premier League na Azam Sports Federation Cup?

Je,, Mapinduzi Cup ni Kombe la Msimu mzima au ni la Wiki Mbili kama Bonanza?

Pumbavu.

Unajisikiaje kuchangia Uzi wa Mtu ambaye kwa muda mrefu ulikuwa ukiwataka JamiiForums Moderators na hata JamiiForums Founder Mwenyewe WASINIFUNGULIE tena GENTAMYCINE hili Jukwaa la Michezo?

Cc:. SAYVILLE
 
Maswali kama haya wanaweza kuuliza PhD holders pekee. Wakikujibu nitag
Nimeshamjibu Mpumbavu ( Juha ) Dr Matola PhD mnayefanana kwa Umasikini wenu wa Kifikra hapo juu.

Soma kisha mtafute muda ili muelimishane zaidi ili Siku zingine mkiwa hapa JamiiForums muonekane mna Akili na kwamba mlienda Shule Kusoma na Kuelimika na siyo Kukua tu kunywa Uji wa Buruga sawa?
 
Simba kwenda Zanzibar ni karibu kuliko Mwanza,hata mambo ya kiofisi Zanzibar mtu anaenda na kurudi, Kirumba ni mbali sana na uwanja wa Amaan ni mzuri kuliko Kirumba.

Lakini tatizo gharama itakuwa kubwa kwa timu hizi ndogo ndogo kwenda Zanzibar mfano Mashujaa kama wanatumia basi inabidi watoke Kigoma halafu walale Dar ndo wapande boti,halafu bado gharama za mahoteli Zanzibar zipo juu sana, timu kama Kagera na Mashujaa zitatembea siku mbili halafu wacheze mechi ni changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu timu zetu kubwa .... viwanja empty

Back
Top Bottom