Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Group channel ya Simba ni mafanikio makubwa [emoji1]Rangi halisi za viongozi wa Simba zitaonekana wakati uchaguzi mkuu ukikaribia, wengi wapo hapo kwa ajili ya kujitangaza kisiasa.
Mkutano wao mkuu hawakuzungumzia mipango yoyote ya kujenga uwanja badala yake pesa walizopata kwa jasho la washabiki wa Simba kwa lengo la kujenga uwanja wametumia kwa matumizi yasiyoeleweka Kama kujenga uzio na kambi ya timu.
Maceo wenye vision wangezungumzia mipango ya timu Kama kujenga uwanja lakini yeye anazungumzia magroup ya WhatsApp .
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app