Kama zipi? Yanga watulie huko huko ChamaziUkiona mbali .....
Tatizo Simba ikiomba ...timu zingine nazo zitahitaji
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndio
Hivi unajua au anajua au mnajua kuwa katika nchi hii Simba na Yanga ndiyo Timu pekee ambazo zina Nguvu na Maamuzi kuliko hata TFF na Serikali inaziogopa kwakuwa zina Ushawishi mkubwa hata katika Siasa za Tanzania kuanzia Marais na Watendaji wake?SIMBA WASIKUBALIWE KUTUMIA UWANJA WA AMAAN
Bodi ya Ligi isiruhusu hili Zanzibar Wana ligi yao na wanautumia huo uwanja kwenye michezo ya ligi kuu ya Zanzibar
Bado hakuna muungano kwenye michezo ndiyo maana Kuna wizara 2 huko Zanzibar na huku bara ,ndio maana michezo bado inazikutanisha timu za bara na Znz kwenye michuano mbalimbali.
Kanuni za Ligi kuu zinahitaji timu kutumia uwanja au viwanja vilivyoanishwa na kukaguliwa na kamati ya leseni ya vilabu kwa Tanzania bara.
Nani atavisafirisha klabu kutoka huku Bara kwenda Zanzibar? Gharama za kuishi huko?
Tuache masihara na ligi .....Simba wachague hata Kirumba lakini sioni mantic ya kuomba mechi kwenda Zanzibar
Je mapato ya FA itachukuliwa na ZFF au TFF?
Ameandika Juma Ayo kuhusu klabu ya Simba kutaka kutumia uwanja wa New Amaan Zanzibar.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Akaombe pale kaunda stadium acheze mechi zake.kuna uwanja mzuri tu
Hilo ni kweli ...hizi timu Zina impact kubwaHivi unajua au anajua au mnajua kuwa katika nchi hii Simba na Yanga ndiyo Timu pekee ambazo zina Nguvu na Maamuzi kuliko hata TFF na Serikali inaziogopa kwakuwa zina Ushawishi mkubwa hata katika Siasa za Tanzania kuanzia Marais na Watendaji wake?
Si Simba SC hata Yanga SC nayo ikiamua kuhamishia Mechi zake za Ligi huko Zanzibar hakuna Mpumbavu yoyote kutoka sijui TFF au Wizarani ambaye atakuwa na Ubavu wa Kuwazuia hata kama sijui wanakiuka Kanuni na kwamba Muungano wetu hautuunganishi katika Suala la Ligi Kuu zetu na matumizi ya Viwanja vyao Zanzibar na vyetu huku Bara.
Zambia??Akaombe pale kaunda stadium acheze mechi zake.kuna uwanja mzuri tu
Naye ahitaji uwanja wa Mkapa aendelee kutumia huko ambako amekuwa anapatumia
Haya ndio mafanikio ya Simba.😀😀Unakumbuka juzi ulileta uzi wa mwanasheria wa Yanga aliyetoa ushauri wa kuunganisha TFF na ZFF na kuwa na ligi moja na mimi nikasema ni moja ya mawazo ya hovyo. Hii ni moja ya sababu za kupinga jambo hilo maana halitekelezeki.
Simba imekaa kinyonge sana wakati mwingine. Hivi pamoja na kujipendekeza kote kwa wanasiasa, viongozi wameshindwa kushawishi mamlaka husika ili Simba iendelee kutumia uwanja wa Mkapa hata kipindi cha marekebisho?
Mbona zinashiriki mapinduzi cup Bila kupenda?Hivi unajua au anajua au mnajua kuwa katika nchi hii Simba na Yanga ndiyo Timu pekee ambazo zina Nguvu na Maamuzi kuliko hata TFF na Serikali inaziogopa kwakuwa zina Ushawishi mkubwa hata katika Siasa za Tanzania kuanzia Marais na Watendaji wake?
Si Simba SC hata Yanga SC nayo ikiamua kuhamishia Mechi zake za Ligi huko Zanzibar hakuna Mpumbavu yoyote kutoka sijui TFF au Wizarani ambaye atakuwa na Ubavu wa Kuwazuia hata kama sijui wanakiuka Kanuni na kwamba Muungano wetu hautuunganishi katika Suala la Ligi Kuu zetu na matumizi ya Viwanja vyao Zanzibar na vyetu huku Bara.
Maswali kama haya wanaweza kuuliza PhD holders pekee. Wakikujibu nitagMbona zinashiriki mapinduzi cup Bila kupenda?
Mapinduzi Cup inaandaliwa na TFF au ZFA? Sera za Mapinduzi Cup ni sawa na za Premier League na ASFC?Mbona zinashiriki mapinduzi cup Bila kupenda?
Nimeshamjibu Mpumbavu ( Juha ) Dr Matola PhD mnayefanana kwa Umasikini wenu wa Kifikra hapo juu.Maswali kama haya wanaweza kuuliza PhD holders pekee. Wakikujibu nitag
Ni aibu timu zetu kubwa .... viwanja emptySimba kwenda Zanzibar ni karibu kuliko Mwanza,hata mambo ya kiofisi Zanzibar mtu anaenda na kurudi, Kirumba ni mbali sana na uwanja wa Amaan ni mzuri kuliko Kirumba.
Lakini tatizo gharama itakuwa kubwa kwa timu hizi ndogo ndogo kwenda Zanzibar mfano Mashujaa kama wanatumia basi inabidi watoke Kigoma halafu walale Dar ndo wapande boti,halafu bado gharama za mahoteli Zanzibar zipo juu sana, timu kama Kagera na Mashujaa zitatembea siku mbili halafu wacheze mechi ni changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app