Juma Ayo: Simba labda waombe uwanja wa CCM Kirumba Mwanza siyo Zanzibar

Group channel ya Simba ni mafanikio makubwa [emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Matimu haya mawili pamoja na utajiri yaliyo nao, (wanachama na wapenzi) yatabaki omba omba, litoto umelizaa Linazeeka halijui hata kukwetua uwanja..hovyo kabisa

Sent from my CPH2481 using JamiiForums mobile app
Wydad na Raja Casablanca hawana viwanja vyao.

Ac Milan na Inter Milan hawana viwanja vyao.

Al Ahly na Zamalek hawana viwanja vyao.
 
Ratiba mpya ya ligi kuu imetoka leo na hakuna uwanja wa Zanzibar, bc rasmi uzi huu ufungwe 😂
 
Mara kumi ukaishi dubai kwenye hotel lakini sio zanzibar, sijui zile gharama wanaangalia nini hasa
Dah hata mimi huwa nashangaa sana. Hotel ya shilingi 30,000 Tanzania Bara, Zanzibar unalipa sh.150,000. Hata kama wakisingizia utalii lakini hapana gharama za Hotel Zanzibar zipo juu mno. Kuna siku nililala Hotel moja pale Mji Mkongwe gharama ya chumba ilikuwa sh. 220,000, chumba ambacho kwa Hotel za Dar huwa nalipa sh. 50,000.
 
Zanzibar wanazingua sana, Dubai unapata hotel ya 30k lakini Zanzibar hupati, naweza nikatoka dar nikaenda kukaa dubai wiki ila zanzibar siwezi
 
Zanzibar wanazingua sana, Dubai unapata hotel ya 30k lakini Zanzibar hupati, naweza nikatoka dar nikaenda kukaa dubai wiki ila zanzibar siwezi

kwa kweli inaumiza sana
 
Huyo mshamba, la liga kama sikosei, kuna timu walishatumia uwanja nje ya hispania.
Kucheza kule simba kuna faida nyingi kuliko hasara kwa wao.

mkuu ningeomba nizijue baadhi ya hizo faida
 
Zanzibar inashiriki mashindano ya CAF ya klabu bingwa na kombe la washindi. Kumbuka Mlandege ilitolewa na Singida Fountain Gate katika mashindano ya kombe la washindi la CAF.
 
Zanzibar inashiriki mashindano ya CAF ya klabu bingwa na kombe la washindi. Kumbuka Mlandege ilitolewa na Singida Fountain Gate katika mashindano ya kombe la washindi la CAF.

Soma comment yangu utaona kuna maneno "kwa ngazi ya timu ya taifa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…