Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
π€£π€£π€£Ila Juma toka aachwe na vee hayuko sawa, yaan anatafuta furaha na venye hamna.
Anatapa tapa mnoo, sasa hili nalo ni la kutangaza? Khaaaah.
Mambo gani tena mkuuπKikwete kaacha mambo yake siku hizi?
Kikwete alituwakilisha mpaka kimataifa tukammiliki Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, mwanamama mmoja hivii, mpaka habari ikataka kuleta diplomatic scandal, ila uzuri Museveni mtu wetu tunammiliki tangu zamani akaimaliza kijirani tu πππMambo gani tena mkuuπ
Hahaha............lakini si unajua Wanaume hatuzeeki hadi siku tunafukiwa.Kikwete alituwakilisha mpaka kimataifa tukammiliki Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, mwanamama mmoja hivii, mpaka habari ikataka kuleta diplomatic scandal, ila uzuri Museveni mtu wetu tunammiliki tangu zamani akaimaliza kijirani tu πππ
Leo unampelekea mke wako?
Labda vijana wanaona kazeeka mpaka kafika John's Hopkins kutibiwa atakuwa karudisha mpira kwa Mama Salma siku hizi.
Kumtambulisha mkeo hivyo kwa Mzee wa Pwani asiye ndugu yako inataka moyo.Hahaha............lakini si unajua Wanaume hatuzeeki hadi siku tunafukiwa.
Itakuwa Jux hajui hayo π
Mkuu utafanya hadi nasisi Vijana watuogope kututambulisha wake zao, na hivi tunapaka piko kuficha Mvi zetu π€Kumtambulisha mkeo hivyo kwa Mzee wa Pwani asiye ndugu yako inataka moyo.
Kutambulishatambulisha mke au mume ni mgogoro mkuu.Mkuu utafanya hadi nasisi Vijana watuogope kututambulisha wake zao, na hivi tunapaka piko kuficha Mvi zetu π€
We masikio na wasikieKutambulishatambulisha mke au mume ni mgogoro mkuu.
Hamjamsikia Issa Matona vijana?