Juma Jux amtambulisha mkewe Prisca kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Wameoana Boma au kimila ?
Maana naona Dini Tofauti
 
Huo mjengo wa Kikwete ndio ule aliozawadiwa na mwendazake kupitia kodi zetu?
 
Leooooo nataka nitoke na mpenzi wangu seyaaaa ujue seya nakupendaga sanaaaaa

Seya wa mivaloooooo
 
Huo uyoga unaochipukia pale mbele ni wa mheshimiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…