Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Lini waafrica wata kuwa kama waafrica ,et hahahah haaa nyooko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pigo jingine tena.
 
Mabaharia tunaumiaga Kwa mwanamke ambae hatujapiga tuu.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yani demu ambae hujapiga anaumiza Sana akikuacha yani unakuwa unajiuliza hivi Yuko na mbususu ya Aina Gani.. hahahahhh
Ila we mwamba muhuni sana
 
Mi ndo nnapo shangaa kwa kweli...af watu wako bize kumsema Jux. Sasa kama hakuwa na mpango wa kuzaa na Vanessa je? worse ukute chanzo cha Jux kumkataa V ni kutaka kuzaa nae...ni bora kuwa neutral tu wasipendelee upande mmoja mana hawajui maisha yao yalikuaje na Mioyo yao sasa ivi ipoje
Usidanganye watu vanessa ndio alimtosa jux mbona ipo wazi mbaka jux aliongea hiyo
 
Back
Top Bottom