Mi ndo nnapo shangaa kwa kweli...af watu wako bize kumsema Jux. Sasa kama hakuwa na mpango wa kuzaa na Vanessa je? worse ukute chanzo cha Jux kumkataa V ni kutaka kuzaa nae...ni bora kuwa neutral tu wasipendelee upande mmoja mana hawajui maisha yao yalikuaje na Mioyo yao sasa ivi ipoje