Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Sasahiv kwa mwendo wa mziki unavyoenda kama msanii unatembelea crown a.k.a Nanasi, kafanye biashara nyingine tuu. Maana mziki pekeyake haulipi.

Jux kupitia insta yake leo kaposti msafara wake wa Mercedes na BMW ukienda kupokea helikopta mpya aliyoinunua.

Kuna msanii alinunua RR used dubai leo Uwoya kaposti kakodi Uber ya RR ya gharama zaidi.

Mimi hapa ninachokiona kwenye mbio hizi kuna mtu ataishiwa pumzi tu muda si mrefu.

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo benz aliyonunua Jux ukilinganisha na rolls royce ya diamond mbona ni ya zamani sana na hadhi ya chini ? Kwa wanaojua gari za mjerumani cc Extrovert RRONDO Mnisahihishe kama nakosea kwenye hiyo dashboard hapo chini👇
Hiyo sio E-Class W212 facelift ya 2013 - 2016 ?
 
Unamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia
Mc hammer kufulia kulitokana na muziki anaoufanya kupitwa na wakati na yeye akashindwa kufit katika genre mpya ya gangsta rap.

Tyson ni matokeo ya promoter Don King.
 
Unamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia
Kufulia akili ya mtu mwenyewe sababu Tyson kafulia unazani kila mtu atafulia, mbona Jay Z hajafulia pamoja na kutembelea Maybach ya usd 8m ,saa ya mkononi usd 3m na cheni shingoni usd 300000.

Husiforce wafaane kila mtu ana akili yake na plan zake. Haya kwa wewe unaamini Mondi atafulia Jux hatofulia? Endelea kusubiria Meli Airport aliyepewa kapewa we baki na chuki zako.
 
Hii ni ya 2016 mzee baba AMG
 
Mimi niko hapa sina hata baiskeli ila wanipe miaka michache watakua chini yangu.
 
Mtoa mada hapendi maendeleo ya Mond. His post (s) says it all.
1. Ulimsifia Jux kwamba kamzidi Mond kimaisha
2. Uwoya kapanda uber RR
3. Hii post

Mwanaume weee? Yatakuja yakushinde mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…