Haiwezekani ikawa ya 2018, hiyo ni kama wamepiga modification ya show ya mbele kidogo nikioangalia dashboard yake na hata body ya nyuma ni E class ambayo ipo based kwenye W212.
Ingekuwa ya 2013 (W213) show yake ya nyuma ingekuwa ipo curved zaidi,hasa upande wa taa hiyo ni E class ya 2018 [emoji116]
View attachment 1865015
Hii ni E -class ya Jux (ipo boxed zaidi sio curved)[emoji116]
View attachment 1865021
Pia hiyo system yake kwenye Dashboard (Comand) ya jux ina knob peke yake kwa ajili ya kunavigate menu za system
View attachment 1865023
E- Class ya 2018 (W213) ina knob na touchpad
View attachment 1865025
Na interior ya W213 ina ambient light angepiga picha lazima tungeiona. In short dashboard ya
W212 ni hii[emoji116]
View attachment 1865029
Ya w213 ni hii
View attachment 1865030
Hii ndinga ya jux inatumika sana kama taxi ujerumani kuna kipindi niliwahi kukaa huko kwa mjerumani basi nikiita taxi na app yao kama Uber ndio nilikuwa napanda, angeinunua Diamond ingepondwa sana, ila kwa kuwa ni Jux ndio inapaishwa zaidi[emoji1787]
View attachment 1865031