Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Jay z wakati hana hela alikua anavaa ma cheni hadi kwenye meno na alikua anataja magari ya kifahari kila verse na show off za kijinga ili watu wajue ana hela wakati hana hela.
Sasa hivi jay z ana hela huwezi kuona kavaa micheni wala hana show off za kijinga kwakuwa hana cha ku prove kuwa ana hela kila mtu anajua ana hela.
Ukiona mtu anatumia sana nguvu kushow kwamba ana hela ujue hana hela hizo ni maigizo tu.
Umri wa Jay Z umeenda mtu anavyo grow kuna vitu automatically anaviacha. Ni wachache wanaoendelea na mambo waliokuwa wanafanya wakiwa vijana kama Snoop.
Diamond itafika muda na yeye hayo mambo ataacha ila kwa sasa umri wake unamruhusu kufanya hivyo. Zile show off zake zinahitaji pesa aisee bila pesa huwezi kufanya hizo show off hata kidogo.
Mkuu mbona kuwekeza kawekeza, redio na TV station ni uwekezaji mzuri ataendelea kula matangazo tu.
 
Jux atafute size yake mond kamuacha sana. Wasanii wadogo wasiojiamini wengi wanasafiria nyota ya mond kwa sasa. Jux saizi yake ni kina marioo
Mkuu huenda huyo Jux hata hashindani na Diamond anaishi maisha yake tu, ila haters wa diamond wanajaribu mshindanisha na kila wanayemuona maana kila wanayemtumia wanafail inabidi watafte mwingine.
 
Sasahiv kwa mwendo wa mziki unavyoenda kama msanii unatembelea crown a.k.a Nanasi, kafanye biashara nyingine tuu. Maana mziki pekeyake haulipi.

Jux kupitia insta yake leo kaposti msafara wake wa Mercedes na BMW ukienda kupokea helikopta mpya aliyoinunua.

Kuna msanii alinunua RR used dubai leo Uwoya kaposti kakodi Uber ya RR ya gharama zaidi.

Mimi hapa ninachokiona kwenye mbio hizi kuna mtu ataishiwa pumzi tu mda si mrefu.View attachment 1864960
Jux hapo ana msafara gani mkuu 😃😃😃
 
Jux atafute size yake mond kamuacha sana. Wasanii wadogo wasiojiamini wengi wanasafiria nyota ya mond kwa sasa. Jux saizi yake ni kina marioo
Dah!kwhyo mtu asiishi maisha yke aogope kushndnshwa na huyo ndg yenu?mibongo bhna!!!
 
Hiyo benz aliyonunua Jux ukilinganisha na rolls royce ya diamond mbona ni ya zamani sana na hadhi ya chini ? Kwa wanaojua gari za mjerumani cc Extrovert RRONDO Mnisahihishe kama nakosea kwenye hiyo dashboard hapo chini👇View attachment 1864990
Hiyo sio E-Class W212 facelift ya 2013 - 2016 ?
RR Cullian kulinganisha na hii ya Jux ni akili mbaya tu au mwehu peke yake ndio anaweza jaribu kutaka linganisha hivi vitu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Haiwezekani ikawa ya 2018, hiyo ni kama wamepiga modification ya show ya mbele kidogo nikioangalia dashboard yake na hata body ya nyuma ni E class ambayo ipo based kwenye W212.

Ingekuwa ya 2013 (W213) show yake ya nyuma ingekuwa ipo curved zaidi,hasa upande wa taa hiyo ni E class ya 2018 👇
View attachment 1865015
Hii ni E -class ya Jux (ipo boxed zaidi sio curved)👇
View attachment 1865021


Pia hiyo system yake kwenye Dashboard (Comand) ya jux ina knob peke yake kwa ajili ya kunavigate menu za systemView attachment 1865023

E- Class ya 2018 (W213) ina knob na touchpadView attachment 1865025
Na interior ya W213 ina ambient light angepiga picha lazima tungeiona. In short dashboard ya
W212 ni hii👇
View attachment 1865029
Ya w213 ni hii View attachment 1865030

Hii ndinga ya jux inatumika sana kama taxi ujerumani kuna kipindi niliwahi kukaa huko kwa mjerumani basi nikiita taxi na app yao kama Uber ndio nilikuwa napanda, angeinunua Diamond ingepondwa sana, ila kwa kuwa ni Jux ndio inapaishwa zaidi🤣View attachment 1865031
Umeamua kuua kabisaaa 😀😀😀

Extrovert
 
Mimi nahisi Jux atachemsha, Diamond tayari ana fanbase kubwa tena international opportunities anazo nyingi , simchukii Jux but hata nyimbo akizofanys na wasanii wa nje ni chache, napenda Mziki wake though, nyimbo zake zote ni hits hapa Tanzania
Jux anaishi life lake ila watu ndo wanataka kutengeneza hiyo league. Kwa upande wengu natamani tuwe hata na wasanii 10 wenye mafanikio kama Diamond au zaidi yake ili game iajiri na kuwapa space watu wengi zaidi
 
Back
Top Bottom