Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]level ipi
Yuko mbali mno, kifedha, ki investments, fan base, international recognition na strong management.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]level ipi
Yuko mbali mno, kifedha, ki investments, fan base, international recognition na strong management.
Hao ni wao na yeye ni yeye..!! Vitu viwili tofauti kabisaaaUnamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia
Kuna mijitu mkuu siku zote ni kumuwazia Daimond mabaya tu wakati si ajabu ana uwezo wa kuulisha ukoo wao mzima na kusomesha watoto wake shule za maana na maisha yakaenda,yaani dogo sijui kaqakoswa nn,maisha wayashindwe wenyewe wivu wamuonee kijana wa watu,yaani hata waliokuwa hawampendi inabidi wampende manake si kwa chuki hizi zisizo na kichwa wala miguuKufulia akili ya mtu mwenyewe sababu Tyson kafulia unazani kila mtu atafulia, mbona Jay Z hajafulia pamoja na kutembelea Maybach ya usd 8m ,saa ya mkononi usd 3m na cheni shingoni usd 300000.
Husiforce wafaane kila mtu ana akili yake na plan zake. Haya kwa wewe unaamini Mondi atafulia Jux hatofulia? Endelea kusubiria Meli Airport aliyepewa kapewa we baki na chuki za
Haiwezekani ikawa ya 2018, hiyo ni kama wamepiga modification ya show ya mbele kidogo nikioangalia dashboard yake na hata body ya nyuma ni E class ambayo ipo based kwenye W212.Hii ni ya 2018 mzee baba
Ujerumani benzi ni taxi tu kama ilivyo naijeriaHaiwezekani ikawa ya 2018, hiyo ni kama wamepiga modification ya show ya mbele kidogo nikioangalia dashboard yake na hata body ya nyuma ni E class ambayo ipo based kwenye W212.
Ingekuwa ya 2013 (W213) show yake ya nyuma ingekuwa ipo curved zaidi,hasa upande wa taa hiyo ni E class ya 2018 👇
View attachment 1865015
Hii ni E -class ya Jux (ipo boxed zaidi sio curved)👇
View attachment 1865021
Pia hiyo system yake kwenye Dashboard (Comand) ya jux ina knob peke yake kwa ajili ya kunavigate menu za systemView attachment 1865023
E- Class ya 2018 (W213) ina knob na touchpadView attachment 1865025
Na interior ya W213 ina ambient light angepiga picha lazima tungeiona. In short dashboard ya
W212 ni hii👇
View attachment 1865029
Ya w213 ni hii View attachment 1865030
Hii ndinga ya jux inatumika sana kama taxi ujerumani kuna kipindi niliwahi kukaa huko kwa mjerumani basi nikiita taxi na app yao kama Uber ndio nilikuwa napanda, angeinunua Diamond ingepondwa sana, ila kwa kuwa ni Jux ndio inapaishwa zaidi🤣View attachment 1865031
Hio E-Class nyeusi ndio naielewa katika Model zote za E-Class imekaa sophisticated sanaHaiwezekani ikawa ya 2018, hiyo ni kama wamepiga modification ya show ya mbele kidogo nikioangalia dashboard yake na hata body ya nyuma ni E class ambayo ipo based kwenye W212.
Ingekuwa ya 2013 (W213) show yake ya nyuma ingekuwa ipo curved zaidi,hasa upande wa taa hiyo ni E class ya 2018 👇
View attachment 1865015
Hii ni E -class ya Jux (ipo boxed zaidi sio curved)👇
View attachment 1865021
Pia hiyo system yake kwenye Dashboard (Comand) ya jux ina knob peke yake kwa ajili ya kunavigate menu za systemView attachment 1865023
E- Class ya 2018 (W213) ina knob na touchpadView attachment 1865025
Na interior ya W213 ina ambient light angepiga picha lazima tungeiona. In short dashboard ya
W212 ni hii👇
View attachment 1865029
Ya w213 ni hii View attachment 1865030
Hii ndinga ya jux inatumika sana kama taxi ujerumani kuna kipindi niliwahi kukaa huko kwa mjerumani basi nikiita taxi na app yao kama Uber ndio nilikuwa napanda, angeinunua Diamond ingepondwa sana, ila kwa kuwa ni Jux ndio inapaishwa zaidi🤣View attachment 1865031
Hiyo inaheshima zaidi, kibongo bongo zipo chache mno...ila kulinganisha gari ya Jux na Ile Cullinan sio hakiHio E-Class nyeusi ndio naielewa katika Model zote za E-Class imekaa sophisticated sana
Anaelinganisha ni nani huyo?Hiyo inaheshima zaidi, kibongo bongo zipo chache mno...ila kulinganisha gari ya Jux na Ile Cullinan sio haki
Hii msg tuiweke kama kumbukumbu.Ndege ya Diamond iliishia wapi?
Hivi hapa bongo msanii gani ana gari kali ukimtoa diamond na hiyo anayisema RR ya kwake.RR ni sh.ngap kwa hela ya kibongoHio E-Class nyeusi ndio naielewa katika Model zote za E-Class imekaa sophisticated sana
Si unaona kwenye uzi tunaambiwa Dimondi haiwezi vita na Jux 🤣Anaelinganisha ni nani huyo?
Fuatilia maisha ya hao uliowataja, hakuna aliyewahi kuwa na investment yaani hata ya mradi wa kuuza viberiti wakati wako kwenye peack ya career yao hivyo usiwalinganishe na Sadala.Unamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia
$650,000 x2319=Hivi hapa bongo msanii gani ana gari kali ukimtoa diamond na hiyo anayisema RR ya kwake.RR ni sh.ngap kwa hela ya kibongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeweza kununua benz 10 au zaidi kwa cost ya rolce royce 1 pamoja na kodi!Si unaona kwenye uzi tunaambiwa Dimondi haiwezi vita na Jux 🤣
Oya majuzi niliona umepigwa ban , wapi ulichochora Mzee 😀Hii ni ya 2016 mzee baba AMG
Nipo mbona mzeeOya majuzi niliona umepigwa ban , wapi ulichochora Mzee 😀
Mc Hammer alifilisika sababu ya gambling na starehe zilizo pitiliza.Mc hammer kufulia kulitokana na muziki anaoufanya kupitwa na wakati na yeye akashindwa kufit katika genre mpya ya gangsta rap.
Tyson ni matokeo ya promoter Don King.