Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli wabongo ni wavivu mno kujua vitu yaani hayo magari yote hakuna la 2021 na ni mitumba used,
1: Rolls-royce la mond ni used la 2018 na nimeongea na Rolls Royce hawana record ya mteja wa RR 2021 bongo na huyo hata siyo mteja wao kwani Rolls Royce ina waiting time ya at least miezi 3 na nusu tangu uweke order. Alafu ukitaka kujua tofauti ya 2021 na hilo la mond la 2018 angalia hizo grill
2: Hayo ma cadillac ya mondi yote ni used ya 2016 angalia tofauti ya cadillac escalade za 2021 na hiyo mitumba ya 2016
Yaani mondi ana take advantage sana ya undondocha wa wabongo kufanya research ndogo na ushamba wa wengi kwenye vitu vya gharama ndiyo maana akinunua anawajaza escalade 2021 zero kilomita mnajaa mazima kwa sababu ni washamba. Hayo magari yote ni used hana gari brand new kuanzia matoyota hayo hadi hilo bmw yote mitumba.View attachment 1865792View attachment 1865793View attachment 1865798View attachment 1865799View attachment 1865800
Mkuu hiyo Cullinan ya mond ni 2018 details zinabadilika kutokana na year of make. La mondi ni la kiwandani siyo customized, la 2021 la kiwandani liko tofauti na la mondi kwenye details kama nilivyozungushia hapo kwa mbele pia body na dashboard.
Tazama hii page inaitwa hyperluxury ni page wanapost maisha ya watu na magari ya wenye maela. Ona hiyo cullinan 2021nayo ni tofauti ya magari hayo uliyopos kwasababu rolls royce unaweza omba wacustomize gari lako kama unavyotaka. Cullinan zina baadhi ya details zinatofautiana.
Ifike mahali Mond apewe heshima yake, iwe kavunja kibubu au hakuvunja lakini kumiliki hii gari siyo mchezo. Hata hao wenigne akina Mwijaku na HBaba baada ya kugndua kumbe ni cullinan OG 2021, ilibidi wabadili waanze kusema ni used, mara kanunua scrapper kapiga rangi kaipakia kwenye container.
Unaumia.........Mkuu hiyo Cullinan ya mond ni 2018 details zinabadilika kutokana na year of make. La mondi ni la kiwandani siyo customized, la 2021 la kiwandani liko tofauti na la mondi kwenye details kama nilivyozungushia hapo kwa mbele pia body na dashboard.
Ukiongelea customized Rolls wanachofanya ni bespoke kwa interiors, ila body hawafanyi inabaki same kila model.
Labda wewe unaongelea yale customized na kampuni tofauti kama mansory ambao wanafanya customization ya Gari za bei ghali kama Rolls Royce na Buggati etc wanabadilisha hadi body kits na wao pia huwa wanatoa limited editions na models name wanabadilisha tofauti na official release names za rolls royce.
Endelea kuungaunga video..........UUUUUUNAAAAAUMIAAAAAAA........ jipe moyo ..............Mie? [emoji23] Gari la billioni 2 linaenda gereji za bajaji, mkweche huo hauna safari.View attachment 1865967
Nani aliweka hapa landing bill? Siyo wewe mkuu? Ile landing bill imeandikwa gari ni ya mwaka gani mkuu?Mkuu hiyo Cullinan ya mond ni 2018 details zinabadilika kutokana na year of make. La mondi ni la kiwandani siyo customized, la 2021 la kiwandani liko tofauti na la mondi kwenye details kama nilivyozungushia hapo kwa mbele pia body na dashboard.
Ukiongelea customized Rolls wanachofanya ni bespoke kwa interiors, ila body hawafanyi inabaki same kila model.
Labda wewe unaongelea yale customized na kampuni tofauti kama mansory ambao wanafanya customization ya Gari za bei ghali kama Rolls Royce na Buggati etc wanabadilisha hadi body kits na wao pia huwa wanatoa limited editions na models name wanabadilisha tofauti na official release names za rolls royce.
wewe hapo unaumia niniMie? [emoji23] Gari la billioni 2 linaenda gereji za bajaji, mkweche huo hauna safari.View attachment 1865967
[emoji817][emoji3581]Mkuu huenda huyo Jux hata hashindani na Diamond anaishi maisha yake tu, ila haters wa diamond wanajaribu mshindanisha na kila wanayemuona maana kila wanayemtumia wanafail inabidi watafte mwingine.
Kuna tofauti kubwa kati ya kushabikia na kuwa realistic, humu kuna wanao comment kiushabi na kuna wanao comment kutokana na uhalisia wa situation iliyopo.ata ww unamshabikia dada mond
Boxers wote aliowasimamia aliwaacha muflis.Tabia gani mkuu
Huko sio kuweka sawa mkuu. Yaani kila post unamhusisha diamond na mali za watu wengine.Kwakuwa mnapenda kubishana na mimi nnachofanya ni kuwaelimisha tu ukweli sina chuki na mtu napenda kuweka sawa
Word.Huko sio kuweka sawa mkuu. Yaani kila post unamhusisha diamond na mali za watu wengine.
Hii kazi kama hulipwi wala huna maslahi yoyoye nayo, basi nachelea kusema una chuki za kijinga sana.
Means trump kachangia kufilisika kwa mikeWakati huo Trump akiwa Financial Advisor wake 😅😅😅 20 years later Trump akawa raisi wa nchi!
Ila tyson kakaza mpaka leo kawa tajiri tena na nasikia mkewe ndio mpango mzima mpaka jamaa kurudi tena kwenye utajiri....Mc Hammer alifilisika sababu ya gambling na starehe zilizo pitiliza.
Kamari za Las Vegas noma sana mzee.
Hatujawahi kuwavuka kipesa hao wenzetu wa nchi mbili toka kipindi kile cha juma nature na jay........JuZi nilikuta mjadala YouTube. Comments huko, wakenya wanasema msanii tajiri east Africa Ni Bobi wine akifatiwa Na chameleon then akothee
Huyu nae nahisi atakua na biashara labda lakini mziki kama mziki hapana kwa kweli......Mimi nahisi Jux atachemsha, Diamond tayari ana fanbase kubwa tena international opportunities anazo nyingi , simchukii Jux but hata nyimbo akizofanys na wasanii wa nje ni chache, napenda Mziki wake though, nyimbo zake zote ni hits hapa Tanzania
Ana label yake ya boxers inaitwa African boy kama sikoseiHuyu nae nahisi atakua na biashara labda lakini mziki kama mziki hapana kwa kweli......
Sijui kwanini mimi huwa naamini mziki wa bongo haulipi kama hautajiongeza kwenye endorsement na biashara nyinginezo