Dah kweli wabongo ni wavivu mno kujua vitu yaani hayo magari yote hakuna la 2021 na ni mitumba used,
1: Rolls-royce la mond ni used la 2018 na nimeongea na Rolls Royce hawana record ya mteja wa RR 2021 bongo na huyo hata siyo mteja wao kwani Rolls Royce ina waiting time ya at least miezi 3 na nusu tangu uweke order. Alafu ukitaka kujua tofauti ya 2021 na hilo la mond la 2018 angalia hizo grill
2: Hayo ma cadillac ya mondi yote ni used ya 2016 angalia tofauti ya cadillac escalade za 2021 na hiyo mitumba ya 2016
Yaani mondi ana take advantage sana ya undondocha wa wabongo kufanya research ndogo na ushamba wa wengi kwenye vitu vya gharama ndiyo maana akinunua anawajaza escalade 2021 zero kilomita mnajaa mazima kwa sababu ni washamba. Hayo magari yote ni used hana gari brand new kuanzia matoyota hayo hadi hilo bmw yote mitumba.
View attachment 1865792View attachment 1865793View attachment 1865798View attachment 1865799View attachment 1865800