Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Unamjua Mc hammer, au Mike tyson? Walikua mbingu na ardhi na mondi yaani walikua na hela na umaarufu mara 1000000 ya mondi, walifulia
Ngumi na music ni mbingu na ardhi, ngumi utastaafu mapema lkn music hata ukiwa huwezi kuinuka/kusimama utakula sauti yako daima.
 
Ndo hiyo W212 (2013-16) sema acha wehu wa kusema ina hadhi ya chini ndio maana huzioni barabarani nyingi. Hiyo Mac sio makalio tuseme adi wewe unayo.

Zaidi utaona toroli za kwenda kuchezea Golf.

Btw, huyo Jux naye mshamba tu vijana tunazo hizo na tumetulia tunafanya mitikasi yetu. Wamiliki wa Benz halisi hatunaga mbwembwe.

Sema labda kwakua ni msanii ndo mana.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni ya 2016 mzee baba AMG
Mzee hiyo sio toyota hapo hujui kitu.

Hiyo sio w212 ya MY 2016 acheni kulishwa matango pori na wasanii.

W212 ya MY 2016 ina slight interior changes kulinganisha na ya MY 2014-15.

Kingine w212 hiyo sio AMG.......AMG interior ipo tofauti.

Hiyo W212 ya huyo msanii ni w212 ya kawaida ila ina sports/AMG Package......

Kwa kukusaidia siku nyingine kama Benz sio E63 au C63 au 63 nyingine basi hiyo sio AMG.

Sasa huyo msanii kachukua E200 kaweka badge ya E400 anakuja kuwalisha tango pori ni AMG sasa mbona sio E63??

Naongea kama mmiliki nayezijua Benz.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ivi ulishawai kushika hela ndefu au kumiliki kitu cha thamani.

Yani bora uwe maskini ila usiwe na fikra za kimaskini.

Ulitaka gari awe anaendeshea sitting room na sebuleni?

Nakupa siri tu ukishamiliki kitu cha thamani utaanza kukiona ni cha kawaida tu ila nyie makwabwela sasa ndo mtaanza ooh anaendeshea kwnye barabara za uswahili sijui alitakiwa aendeeshee Masaki.

Tafuta hela. Mzee ukishamiliki utaona ni vitu vya kawaida sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wanasema Diamonds are forever! Kwa hiyo mnapigana Vita na mbuyu wa miaka 6000 na hamjitambui. Watoto wangu wawili nimewauliza km wanajua nyimbo yoyote ya Juma Jux, Kwanza wanashangaa Nani? Juma Juice? Eenh diamonds are forever!
 
Sio wehu, Nimesema ukiilinganisha na Rolls Royce aliyonunua Diamond platnumz hiyo Benz E class ni gari ya hadhi ya chini na nitabaki na msimamo huo huo. Watu wengi wa kipato cha kati wananunua hizo W212 na siku hizi kupishana nazo mjini ni kawaida they are no longer "heard turners" lakini Rolls Royce Cullinan (Black Badge) or any other model ya Rolls Royce ni wangapi wananunua ?
That is the basis ya comparison ya class ya hizo gari mbili na statement yangu.
 
Ni ngumu sana kum downgrade Mondi.. Huyu tayari yuko next to next level...!!!!
 
He may not but he is already far beyond..!!
 
Sawa tajiri
 
Alikiba ana Boeing 777 sema hapendagi show off
 
Reactions: Qwy
Mtoa mada hapendi maendeleo ya Mond. His post (s) says it all.
1. Ulimsifia Jux kwamba kamzidi Mond kimaisha
2. Uwoya kapanda uber RR
3. Hii post

Mwanaume weee? Yatakuja yakushinde mchana kweupe.
Zipo nyingi sana zaidi ya hizo tatu, hate is an incurable deseas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…