Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

Juma jux, Lulu Michael mambo hadharani

Hah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kama nawaona team lulu wanahamishia matusi kwa Vanessa!
Malipo hapa hapa sosho media!

Ama kweli karma is a bitch!!!Lulu huyuu muiba waume za watu Leo kaibiwa na kimbau mbau Vanessa!!!
Kwani imekuwaje?
 
Isiwe kweli jamani. Majizo kampa heshima sana lulu hapa mjini. Wakiachana lulu atarudi kudanga na kwenye maskendo kama ya zamani.
 
Mji mzito huu, Lulu hawezi kwenda kwa Jux, atavumilia hapo kwa Majizo asomeshewe mdogo wake Feza Boys.
Hahahhh bandika bandua
Wasanii buana ni mkoroganyo mwanzo mwisho

Jux mbona naye yupo vizuri tu atashindwa kusomesha shemeji kweli?
Ujana maji ya moto kwa kweli
Nimecheka eti 'kwani mchicha ukiwa msiba..........

Majizo naye mtata huyu vijineno kwa social media mara mama F nakupenda sana
Best kuna kitu nimegundua na Majizo hamuongelei L kwa social media hata iwe vipi
L ndio ataweka vijineno
 
Tatizo lipo kwa lulu... hataki kumzalia Majizo mpaka amuoe kwanza...

Ndiyo maana anamfanyia hayo anayomfanyia...

Mambo yao waachieni wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom