Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Lakini si sahihi kumhukumu kwa kutumia jina au undugu!Lakini ni Ndugu.
Mzee kaamua kuruka kiunziHuyu mzee katoka kuoa juzi binti wa miaka 20, atakuwa anahusika anapenda sn maswala ya ngono ngono
Huyu ni pacha wake yeye hausiki kabisa.Na huyu ni kapuyanga au
View attachment 3013821
Ipo hadithi ya zamani Swala na Fisi.Lakini si sahihi kumhukumu kwa kutumia jina au undugu!
So what!!!Lakini ni Ndugu.
Too little too late.Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.
Kapuya amesema kwamba yeye jina lake ni Juma Athuman Kapuya, huku baba yake akiitwa Athuman Kapuya. Mama yake alipofariki dunia, baba yake mzazi alioa mwanamke mwingine na wakapata watoto. Kati ya hao watoto yupo Yasin Athuman Kapuya ambaye katika kumuenzi Baba yake mzazi akaamua kuanzisha Athuman Kapuya Foundation.
Profesa Kapuya kasema si yeye, mke wake au watoto wake wanaojihusisha na foundation hiyo. Anadai siku taasisi hiyo inafunguliwa alishiriki kuifungua na aliitwa aje kueleza Mzee Athuman Kapuya alikuwa mtu wa namna gani.
Profesa Kapuya amedai kuwa ana miaka zaidi ya 20 hajaonana na ndugu yake huyo mhusika wa taasisi hiyo kwani Yasini Kapuya anaishi Marekani.
Ameongeza kuwa watu wanaweza kwenda Serikalini kufuatilia hasa nani mmiliki wa hiyo Taasisi ili waache kuchafua jina lake kwa jambo lisilomhusu.
Pia soma
Anautaka tena ubunge 😂Huyu mzee katoka kuoa juzi binti wa miaka 20, atakuwa anahusika anapenda sn maswala ya ngono ngono
Huko kwenye mashirika ya Kimataifa wanatambukishana mashoga na wanapigiwa makofi. Wazungu ni wapumbavu sana.Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.
Kapuya amesema kwamba yeye jina lake ni Juma Athuman Kapuya, huku baba yake akiitwa Athuman Kapuya. Mama yake alipofariki dunia, baba yake mzazi alioa mwanamke mwingine na wakapata watoto. Kati ya hao watoto yupo Yasin Athuman Kapuya ambaye katika kumuenzi Baba yake mzazi akaamua kuanzisha Athuman Kapuya Foundation.
Profesa Kapuya kasema si yeye, mke wake au watoto wake wanaojihusisha na foundation hiyo. Anadai siku taasisi hiyo inafunguliwa alishiriki kuifungua na aliitwa aje kueleza Mzee Athuman Kapuya alikuwa mtu wa namna gani.
Profesa Kapuya amedai kuwa ana miaka zaidi ya 20 hajaonana na ndugu yake huyo mhusika wa taasisi hiyo kwani Yasini Kapuya anaishi Marekani.
Ameongeza kuwa watu wanaweza kwenda Serikalini kufuatilia hasa nani mmiliki wa hiyo Taasisi ili waache kuchafua jina lake kwa jambo lisilomhusu.
Pia soma
Kazingua.....vyema kafafanua vizuri
...anasema anataka kugombea ubunge!!Kazingua..
Yumo
ila kweli sisi waafrika tuna laana. Yaani watu wamekuzidi kila kitu, unatumia mitandao waliyotengeneza wao, unatumia nguo, silaha, elimu , bado kila kukicha mnashinda kwao kuomba misaada, bado wanawadai madeni kibao lakini unawaita wapumbavu?!!Huko kwenye mashirika ya Kimataifa wanatambukishana mashoga na wanapigiwa makofi. Wazungu ni wapumbavu sana.
View attachment 3013928