Juma Kapuya: Sihusiki na Athuman Kapuya Foundation iliyofungiwa kwa kashfa za ushoga

Bora tumejua zaidi. Kumbe huyo mhusika anaishi marekani kwa hiyo mpango wake kula hela za wamerekani ni kushiriki mpango wao kueneza ushoga. Hatujui kama mwenyewe amenusurika kuingizwa ushoga.
Walaaniwe wamarekani kwa kupanga kutugeuza afrika mashoga.
 
Anayeenda kuomba sio mimi ni rais wako. Tafadhali usinihusishe kwenye upuuzi huo. Mwanamme mzima unajitambulisha umeolewa na mwanaume mwenzio halafu unajisifia kuwa umeendelea. Kama maendeleo ndio hayo si bora ufe maskini.
 
Anayeenda kuomba sio mimi ni rais wako. Tafadhali usinihusishe kwenye upuuzi huo. Mwanamme mzima ujanitambulisha umeolewa na mwanaume mwenzio halafu unajisifia kuwa umeendelea. Kama maendeleo ndio hayo si bora ufe maskini.
ningekuona wa maana ungekataa na madawa wanayotengeza, ungekataa na simu unazotumia kuandika hapa sasahivi. Bado hatujaona misimamo unaosema bora Ufe Ungekataa na magari unayotumia kwenye harakati zako, ungekataa na ndege wanazotengeneza, ungekataa na nguo wanazoleta. Bado hatujaona msimamo zaidi ya unafiki uliojaa. Unakubali vipi kutumia vitu vya watu unaowaita wapumbavu?
 
Hayo yote hayahalalishi mwanaume kuolewa. Naona hili limekugusa sana. Baki na upuuzi wako. Naona kila uzi wewe ni league tu kwenye comment zako.
 
Hayo yote hayahalalishi mwanaume kuolewa. Naona hili limekugusa sana. Baki na upuuzi wako. Naona kila uzi wewe ni league tu kwenye comment zako.
wewe ndio mpuuzi, kuwaita watu mpaka wanaokusaidia kwa kila kitu wapumbavu wakati huna unalojiweza. Ujinga ufanye wewe usingizie wazungu. Kwani afrika Mbona hao watu wapo kibao, Kwanini usemi waafrika wapumbavu? Kosa la watu baadhi unajumuisha wazungu?! Utakuwa na shida ndugu yangu wewe
 
hyo sentensi yake tu ya mwisho kwamba ndugu yake huyo anaishi Marekani na kwamba ANAMIAKA ZAIDI YA 20 hajaonana naye ni proof tosha kwamba anahusika na taasisi hyo.Aache mbwembwe😂
 
Ni ngumu sana kutuaminisha hiki.
 
Juma Kapuya atangaza kugombea nafasi ya ubunge jimbo la urambo...
Nilipo soma hii habari nilishtuka sana mazeeee....🤣
Jimbo la Uraambo ama Jimbo la Kaliua? Yeye yuko Kaliua, au kabadili gia angani?
 
Halafu wala hatuko serious katika kupiga vita ushoga. Na hatuwezi. Naleta mada very soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…