Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Success mean a good teamworks...😛
::wote walistahili zawadi::
::wote walistahili zawadi::
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora mimi nimezisemea roho halisi za kiafrika kuliko kukaa kuumilia,je unadhani wachezaji wengine wako na mioyo myeupe?Acha kuwa na kijiba
Bashite na makipa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Why samata hajapewa na kafunga goli???Acha roho mbaya iliyochanganyikana na wivu, nakuona unaelekea kuwa mchawi, yule aliyepewa milioni 10 mala ya kwanza mbona hukulalamika ila kapewa kaseja unalalamika! Na je aliyetoa hiyo pesa in TFF au wizara ya michezo? Makonda katoa binafsi ht ww unaweza kwenda kumpa unayeamini alicheza vzr ila km hiyo pesa ingetolewa na TFF au wizira ya michezo hoja yako ingekuwa na mashiko, nahitimisha kwa kusema acha wivu wa kike kike
Wewe ndio wale ambao mwisho wa mwaka mtumishi akipewa zawadi ya mfanyakazi bora unalalamika kwani kazi alikuwa anafanya mwenyewe? Ktk maisha kuna vitu huwa vinatokea tu huwezi kuvizuia? So jifunze kukubaliana na uhalisia vinginevyo utakuwa mtu wa kulalamikia kila kitu!Ni bora mimi nimezisemea roho halisi za kiafrika kuliko kukaa kuumilia,je unadhani wachezaji wengine wako na mioyo myeupe?
Chuki zenu ni kwakuwa amepewa kaseja na aliyetoka ni makonda lkn mm sioni tatizo kwasababu makonda katoa binafsi ila km pesa ingetolewa na TFF au wizara inayosimamia michezo ndio tungehesabu kama ubaguzi au kugawa wachezaji, lkn pesa kutolewa na makonda sio kitu ht ww unaweza kwenda kumpa mchezaji unaeona alifanya vzr ktk ile mechi na hakuna anayeweza kukulazimisha uwape wachezaji wt wkt kwa pesa yako una option umpe nani na nani usimpe so acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu kupata mbona alivyopata yule wa kwanza kwenye AFCON hamkulalamika?Wote wapewe Hizo Mil 10 waache kumpendelea Huyo Kaseja kwani mabeki wangelala Kaseja angefungwa Goli moja tu??? Vip samata aliefunga Goli moja na kufanya Iwe suluhuu je asingefunga na Kaseja akafungwa hilo goli moja[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tuache standard za kifalaa kama Hakuna uwezo wa kuwapa wote Bora Bashite atuliee tuu..
Ndio maana nimekwambia bashite sio taasisi inayosimamia michezo au wizara, na elewa ile pesa hakutoa km Ofisi ya Mkuu wa mkoa bali alitoa kwa mapenzi yake sasa inakuwaje kumpangia awape wachezaji wote? Na je alipompa wa mwanzo mbona hamkulalamika zaidi ya kumzihaki kwamba ni basha ake? Acheni hizo sometimes katika maisha kuna vitu vinatokea vyenyewe tuBashite na makipa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Why samata hajapewa na kafunga goli???
Kuna watu wana wivu na chuki, huyo kaseja kaichezea stars mechi kibao mpk anaelekea kustaafu Leo kapewa milioni 10 wanalalamika? Kuna watu wanalalamika kila wkt bila ht kufikiriaIle ni zawadi ya Paul kwa Juma wewe inakuhusu nini?
Ingekuwa zawadi ya Nchi ndio ungehoji
Na wewe ukitaka kampe Unaemtaka acheni kujifanya Maafisa Mipango wa Wallet za wengine
#watu8 hakuna mwenye kijiba bali kumbuka wachezaji ni binadamu wana roho wana majukumu wana mahitaji na wote kazi ni moja tu USHINDI kwa busara ni vyema kuwajali wote.Acha kuwa na kijiba
Tunaozungumza hapa tinaipenda TAIFA STARS kuliko kaseja.Kuna watu wana wivu na chuki, huyo kaseja kaichezea stars mechi kibao mpk anaelekea kustaafu Leo kapewa milioni 10 wanalalamika? Kuna watu wanalalamika kila wkt bila ht kufikiria
hujui chochote kuhusu football we saizi yako ni kina demiss mkajadili rede au mdako "humu unapuyanga tuu.Chuki zenu ni kwakuwa amepewa kaseja na aliyetoka ni makonda lkn mm sioni tatizo kwasababu makonda katoa binafsi ila km pesa ingetolewa na TFF au wizara inayosimamia michezo ndio tungehesabu kama ubaguzi au kugawa wachezaji, lkn pesa kutolewa na makonda sio kitu ht ww unaweza kwenda kumpa mchezaji unaeona alifanya vzr ktk ile mechi na hakuna anayeweza kukulazimisha uwape wachezaji wt wkt kwa pesa yako una option umpe nani na nani usimpe so acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu kupata mbona alivyopata yule wa kwanza kwenye AFCON hamkulalamika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mkuu sema bashite ndo anakuwa Kikwazo bhasi maana kibinadamu huwezi vumilia Kuona umepiga kazi nzito na wenzako alafu kwa manufaa ya wote sio yako binasfi lakini mwisho wa siku Mwenzenu mmoja ndo anaonekana zaidi wengine kapuniNdio maana nimekwambia bashite sio taasisi inayosimamia michezo au wizara, na elewa ile pesa hakutoa km Ofisi ya Mkuu wa mkoa bali alitoa kwa mapenzi yake sasa inakuwaje kumpangia awape wachezaji wote? Na je alipompa wa mwanzo mbona hamkulalamika zaidi ya kumzihaki kwamba ni basha ake? Acheni hizo sometimes katika maisha kuna vitu vinatokea vyenyewe tu
kwa jinsi unavyopingana na hekima na busara no longer utavuna tu KINACHOPANDWA.Ndio maana nimekwambia bashite sio taasisi inayosimamia michezo au wizara, na elewa ile pesa hakutoa km Ofisi ya Mkuu wa mkoa bali alitoa kwa mapenzi yake sasa inakuwaje kumpangia awape wachezaji wote? Na je alipompa wa mwanzo mbona hamkulalamika zaidi ya kumzihaki kwamba ni basha ake? Acheni hizo sometimes katika maisha kuna vitu vinatokea vyenyewe tu
Ningelikiwa nimejitolea mimi Huku kitaa mzee JUMASITA isingekuwa issue!,kumbuka aliyetoa ni MKUU WA MKOA,ili ni kofia tofauti./hata hivyo busara ni kamchango chako KUIKABIDHI TIMU.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mkuu sema bashite ndo anakuwa Kikwazo bhasi maana kibinadamu huwezi vumilia Kuona umepiga kazi nzito na wenzako alafu kwa manufaa ya wote sio yako binasfi lakini mwisho wa siku Mwenzenu mmoja ndo anaonekana zaidi wengine kapuni