Juma Kaseja akabidhiwa zawadi ya milioni 10 na Paul Makonda

Juma Kaseja akabidhiwa zawadi ya milioni 10 na Paul Makonda

Wewe ndio wale ambao mwisho wa mwaka mtumishi akipewa zawadi ya mfanyakazi bora unalalamika kwani kazi alikuwa anafanya mwenyewe? Ktk maisha kuna vitu huwa vinatokea tu huwezi kuvizuia? So jifunze kukubaliana na uhalisia vinginevyo utakuwa mtu wa kulalamikia kila kitu!
Hakika
 
Wao ndio walidaka penati?

Kwa nini hawakutafuta magoli ndani ya 90min...

Waache ufalaaa, bila kipa mzuri tungechapwa hata kwenye matuta...
Ni bora mimi nimezisemea roho halisi za kiafrika kuliko kukaa kuumilia,je unadhani wachezaji wengine wako na mioyo myeupe?
 
Nimeset profile yangu ndezi kama wewe msione kitu. Niambie umepenyaje kwenye chujio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba imepenya kwenye chujio[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom