Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Mambo vipi wakuu,
Habari za weekend? Moja kwa moja kwenye mada, Sir nature ni mmoja ya manguli wa bongo flava tangu kitambo mpaka sasa. Hapo zamani necha alikua ana uandishi flani hivi ambapo lyrics zake zilikua zina vituko au mambo ya kuchekesha mfano:
Titi mundi mundaranga ndio mkong'oto nliopanga hata ukiwanga,
Kanya kajaza,
Umroge mtoto wa mtu kisa kaangua makungu,
Alenii yenuuu,mapiganiyenuuu,
Watoto mkianza kula wa kwanza kupakua nyama[emoji23][emoji23][emoji23],
Kigwendungwendungwendulile chakula cha mwanga usile etc.
Hebu nawewe tupia yako baadhi ya verse za necha zilizowahi kukufurahisha
 
Inauma sana kila nikifikiria waga nalia inaniuma kila nalo fanyq linakosekana

Siku ya kwanza kukutane naye alikuja kwangu usiku ahaha

Ahah mshikaji akamuita akasema chuma huyu apa ongea ...

Mambo safi tuu akangata vidole nimuone bonge la shore
 
Back
Top Bottom