Juma Lokole ampaisha Diamond Platnumz

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Kiukweli katika siku za hivi karibuni Juma Lokole amekuwa akimpaisha sana Diamond platnumz kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kumpost kila mara.

Ni vyema Diamond platnumz akamfikiria kumuongeza mshahara maana kazi anayoifanya Juma Lokole ya kumtangaza mtandaoni kwa kumpost kila mara ni kubwa na inamuongezea mashabiki Diamond.

Ikumbukwe kwamba diamond platnumz ndiye msanii aliyefanikiwa kutumia mitandao ya kijamii ipasavyo kujitangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nendeni mkakeshe kwenye nyumba za ibada kuombea Corona, alisikika kiongozi mmoja wa ngazi za juu.
 
Si wanatoka kimapenzi ao wawili??? Hahahahahahaha nacheka in tanasha voice [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Japo simjuwi huyo dogo Juma ila nahisi atakuwa mshikishwaji ukuta tu, wewe utampost vipi mwanamme mwenzio na kumsifia kila kukicha?
 
Juma lokole mzee wa kupiiz insta
 
Hivi mkeo au GF wako akijua mitandaoni unapost vitu kama hivi atajisikiaje??
Naongea na wewe muanzisha thread sio juma lokole.
 
Dah! eti niliosoma nao huu uzi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…