Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Asante kwa taarifa ila kusema number moja hapo umetuingiza chakaShabiki namba moja wa wasafi huyo. Mshika funguo madale
hahaha acha kumuonea wivu shabiki mwenzako.Asante kwa taarifa ila kusema number moja hapo umetuingiza chaka
lukole ndiyo shabiki namba 1 wa wcb na wengine mnaofanana naye tabia ndiyo mnafuatia baada yake.Unajua maana ya shabiki number 1?
ingawa nakuona ni smart Ila sikujua kumbe na wewe una matusilukole ndiyo shabiki namba 1 wa wcb na wengine mnaofanana naye tabia ndiyo mnafuatia baada yake.
wala hata siko smartingawa nakuona ni smart Ila sikujua kumbe na wewe una matusi
Sijajua kwanii una chuki na WCB?wala hata siko smart
hahaha kukuambia una tabia za juma lukole ndiyo unasema naichukia wcb??Sijajua kwanii una chuki na WCB?
Yuda ni wifi yake kipenziAlisema anawajua sana wa madale hata kina Yuda na mumewe wakiwa wanafika kileleni anawasikia na kelele zao anazijua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanya kama yule mjako sijui mjaku?Kwanza anabugi sana jamaa,mtoto wa kiume anashobo kila uchwao ni kuongelea maisha ya wengine anatuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa PhD umekuwa kitu cha kawaid zama izi ila uyu kiumbe akiwa na PhD Sasa kunahaja ya kuhama bongoMchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na Dizzim online
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa c angetaja hat CBE , kakikoxea heshima chuo chetu cha udsm!!