Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Vishabiki Vingi vya Wcb Vina uzwazwa

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Hhhhhhaaaa lamda ya kutoa mbolea kwa vidume,,, kinyume na hivyo ni udhariri kwa walimu..hhhhhhhhaaa nimeongea kikwetu
 
Sijaelewa ni ipi elimu yake kati ya hizo mbili
1. Philosophical doctorate(PhD) Au and hold
2. Professional Hearing Diploma(P.H.D).......????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana yani kamaliza kidato cha sita akaenda UD kuchukua PDF yani ajui 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom