Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
..................Mkuu tusi liko wapi hapo?maana kama mtihani hili ni jibu la kupata max kabisa.ingawa nakuona ni smart Ila sikujua kumbe na wewe una matusi
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk