Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na Dizzim online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaa PhD umekuwa kitu cha kawaid zama izi ila uyu kiumbe akiwa na PhD Sasa kunahaja ya kuhama bongo
 
Hajatamka neno jalalani kweli kwenye hayo mahojiano yake
 
Back
Top Bottom