Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Vishabiki Vingi vya Wcb Vina uzwazwa

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Hhhhhhaaaa lamda ya kutoa mbolea kwa vidume,,, kinyume na hivyo ni udhariri kwa walimu..hhhhhhhhaaa nimeongea kikwetu
 
Sijaelewa ni ipi elimu yake kati ya hizo mbili
1. Philosophical doctorate(PhD) Au and hold
2. Professional Hearing Diploma(P.H.D).......????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana yani kamaliza kidato cha sita akaenda UD kuchukua PDF yani ajui 😁😁😁😁
 
Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana kweli UDSM ni mamburula tu.

Stupid kabisa, mhitimu wa chuo kikuu unaandika mpaka nikisoma nachafukwa na roho natamani ungekuwa karibu nikuchape makofi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…