Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

Mchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na Dizzim online

Sent using Jamii Forums mobile app

1. huyo hata simuelewei - kutoka form six hadi PhD? Bila degree hata moja?
2. huyo anayehoji hicho kivazi kwa TV!!!!! Mh!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aishie kuwa nyumba ndogo ya huyo boss wake, aiache Elimu Kama ilivyo, watu tunasota kuitafuta hiyo PhD, mxieeeeeeeeew zakeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na Dizzim online

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongera zake kwa elimu aliyoipata if at all ni kweli. Kumbe inawezekana hata wasomi wa kiwango cha PhD kutumia elimu yake katika tasnia ya Uchambaji.
 
Back
Top Bottom