Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane

Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi ulipozuka vuta ni kuvute ikawa kubwa sana

Kilichonishangaa ni shekheee kuwa mc kuhalalisha zina na kuwa mstari wa mbele kabisa kutangaza huku dini yao ikikataa na kulaani zinaa how comes shekhee anaenda kwenye vitu kama vile?
 
Attachments

  • f346bb4009af634b5d5d778add8f798e.mp4
    5.6 MB
  • 9e35cbd9ec81e86f144721976081554b.mp4
    9.1 MB
Shekhe gani kahalalisha zinaa, we mtu akivaa kanzu unaona sheikhe, wengine wahuni tu wenye elimu ya dini, lakini wameamua kuwa wanafiki sababu ya MATUMBO yao.

Kwani kuna vijana wangapi wanajitoa akili kwenye siasa kisa tu mambo yao yaende!?
Sheikh akifanya jambo haimaanishi kuwa UISLAM ndio usemavyo.

Huyu stan bakora nae nahisi kama mali ya umma, sasa mwanaume ukapigane na choko tena kisa fulani arudiane na fulani
 
Mawadhaiza yake ukiyasikiliza unasema hee kweli huyu shekhee
 
Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane

Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi ulipozuka vuta ni kuvute ikawa kubwa sana

Kilichonishangaa ni shekheee kuwa mc kuhalalisha zina na kuwa mstari wa mbele kabisa kutangaza huku dini yao ikikataa na kulaani zinaa how comes shekhee anaenda kwenye vitu kama vile?
Lokole si Ali left camp? Kapigana tena Na dume au mshenzi mwenzake?
 
Back
Top Bottom