Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Kufuatilia hizi habari ni kuthibitisha IQ yako ni low...
Wengine hatufuatilii ila habari zinatufuata.

Inawezekana ni muhimu kujua hizi habari ili kuelewa jamii ya vijana wa mjini wa Tanzania ikoje.

Mimi mpaka najiuliza, hapa issue ni Kajala na Konde Boy tu? Au kuna mengine huko wamedhulumiana hatujui?

Maana kama ni Kajala na Konde Boy tu mwanamme kupigana kwa sababu ya mahusiano ya mwanamme mwenzako na mwanamke wake ni kashfa.

Yani mwenye mahusiano yake hajapigana, uende kupigana wewe mtu baki? Kisa?
 
Njaa kaka
 
Hii inaakisi akili ya kizazi hiki Cha Sasa!
Wakati tunakuwa "ku-date" na mtu ilikuwa ni aibu! Hasa Binti asingeweza kuonesha "umalaya" wake hadharani!

Siku hizi Kuna wapiga debe wa umalaya wa wengine! Wanaume kabisa!
 
Sio wanaume tu viongozibwa dini kabisa kaka mbele
 
Back
Top Bottom