Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #81
Sio siri mmoja juzi katoka kutunzwa dolaKibongo bongo usishangae kuambiwa hizi ngumi za kupangwa watu wamekunja mkwanja hapo ku promote majina 😂😂😂
Wabongo hawana maana.