Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
BoreshaSasa ndio umbea gani huo kaleta na yeye? Nyie watu mnatakiwa kunishukuru sana kwa kuwaandikia habari zangu vizuri.
Watu wenye majina yao mjini wanajiita watoto wa mjiniNdio kina nani hao huko Daslam?
Watoto wamjiniNimetoka mtupu sifahamu hata mmoja katika wote uliowataja.. ndio kina nani hao mkuu?
Sirudii tenaUnatuaibisha
Mawadhaiza yake ukiyasikiliza unasema hee kweli huyu shekheeShekhe gani kahalalisha zinaa, we mtu akivaa kanzu unaona sheikhe, wengine wahuni tu wenye elimu ya dini, lakini wameamua kuwa wanafiki sababu ya MATUMBO yao.
Kwani kuna vijana wangapi wanajitoa akili kwenye siasa kisa tu mambo yao yaende!?
Sheikh akifanya jambo haimaanishi kuwa UISLAM ndio usemavyo.
Huyu stan bakora nae nahisi kama mali ya umma, sasa mwanaume ukapigane na choko tena kisa fulani arudiane na fulani
Lokole si Ali left camp? Kapigana tena Na dume au mshenzi mwenzake?Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane
Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi ulipozuka vuta ni kuvute ikawa kubwa sana
Kilichonishangaa ni shekheee kuwa mc kuhalalisha zina na kuwa mstari wa mbele kabisa kutangaza huku dini yao ikikataa na kulaani zinaa how comes shekhee anaenda kwenye vitu kama vile?
Yaani umbea hauna picha, hauna video hauna source ya vyanzo vingine vya Khabar...... Mwichuliw kazinguaSasa ndio umbea gani huo kaleta na yeye? Nyie watu mnatakiwa kunishukuru sana kwa kuwaandikia habari zangu vizuri.