Juma Mgunda atakuwa mbuzi wa kafara

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.

Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu.

Juma Mgunda asiwe mbuzi wa kafara, tatizo la Simba ni ubora wa wachezaji. Kwanza kama leo, ilitakiwa Simba afe bao hata 4, halafu bao lao ni 'offside'!

Nashauri Mgunda abaki, na Yanga mwezi wa tatu mapema kabisa atatangaza ubingwa!
 
Benchi limejaa wachezaji wabovu wasiokuwa na msaada wowote kwa timu,...
Kibu, Mkude ,Bocco, Akpan,Kapama,Okwa,na mazombie wengine lazima waondoke Simba..tusajili watu wa kazi....vinginevyo Utopolo ataendelea kutesa
 
Hivi si juzi tu mtu kala 4 O'clock leo kocha hafai, wachezaji wabovu kweli?

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Benchi limejaa wachezaji wabovu wasiokuwa na msaada wowote kwa timu,...
Kibu, Mkude ,Bocco, Akpan,Kapama,Okwa,na mazombie wengine lazima waondoke Simba..tusajili watu wa kazi....vinginevyo Utopolo ataendelea kutesa
[emoji847][emoji16]
 
Mbeya city sio wa mchezo tuwe na akiba ya maneno
 
Benchi limejaa wachezaji wabovu wasiokuwa na msaada wowote kwa timu,...
Kibu, Mkude ,Bocco, Akpan,Kapama,Okwa,na mazombie wengine lazima waondoke Simba..tusajili watu wa kazi....vinginevyo Utopolo ataendelea kutesa
Bocco si kapiga hat trick juzi kati au?
 
Benchi limejaa wachezaji wabovu wasiokuwa na msaada wowote kwa timu,...
Kibu, Mkude ,Bocco, Akpan,Kapama,Okwa,na mazombie wengine lazima waondoke Simba..tusajili watu wa kazi....vinginevyo Utopolo ataendelea kutesa
Hadi unashangaa kama wanafanya makusudi isee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…