technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.
Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu.
Juma Mgunda asiwe mbuzi wa kafara, tatizo la Simba ni ubora wa wachezaji. Kwanza kama leo, ilitakiwa Simba afe bao hata 4, halafu bao lao ni 'offside'!
Nashauri Mgunda abaki, na Yanga mwezi wa tatu mapema kabisa atatangaza ubingwa!