Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kocha Juma Mgunda atakuwepo kesho September 10 kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ndiye ataongoza benchi zima la ufundi.
"Katika darasa la wanafunzi 20 wa leseni A ya CAF waliofaulu wa 6 akiwemo Juma Mgunda, sisi kama TFF tumeweka sifa zake ni jukumu la CAF ku appload kwenye mtandao tu". Oscar Milambo Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF.
Hapa Chini Sasa Napo Kuna Hii Taarifa;
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF A.