Juma Mgunda atasimama kama Kocha Mkuu kwenye benchi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets

Juma Mgunda atasimama kama Kocha Mkuu kwenye benchi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kocha Juma Mgunda atakuwepo kesho September 10 kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ndiye ataongoza benchi zima la ufundi.

"Katika darasa la wanafunzi 20 wa leseni A ya CAF waliofaulu wa 6 akiwemo Juma Mgunda, sisi kama TFF tumeweka sifa zake ni jukumu la CAF ku appload kwenye mtandao tu". Oscar Milambo Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF.

Hapa Chini Sasa Napo Kuna Hii Taarifa;

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF A.

20220909_101921.jpg
 
Kocha Juma Mgunda atakuwepo kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets na ndiyo anaongoza benchi zima la ufundi...
Mpira unachezwa hadharani kama atakuwepo kwenye benchi iyo kesho si ataonekana tu, porojo za umbumbuni tushazichoka tunasubilia iyo kesho maana ata tff wamekuwa na makandokando mengi siku izi awaaminiki ata kidogo
 
Hata wele waliokuwa wakisema Guardiola hata vyeti walikuwa wakijua kabisa mpira unachezwa hadharani ila ni upotoshaji wao tu

Nadhani hili hawajapenda yaani.
 
Hata wele waliokuwa wakisema Guardiola hata vyeti walikuwa wakijua kabisa mpira unachezwa hadharani ila ni upotoshaji wao tu

Nadhani hili hawajapenda yaani.
Huyu nadhani ni wakufungia maisha
 
Kuna muda bora usiongee kuliko kuonyesha ujinga uliotukuka yani watu wengi ni wajinga na hawana akili. Ni kama wanashindana na TFF hivi kweli taasisi kama hyo isijue kuwa Juma hana leseni na uongozi wa Simba wenye wasomi isjue hilo bado watu wana andika ujinga ujinga tuu.
 
Back
Top Bottom