Yule VUVUZERA wa kule UTOPOLO, atadai TFF inamjibu yeye!Zile bhah bhah zenu kuwa hana vyeti muendelee kubaki nazo nyie wenyewe na wale wachambuzi wenu.
Guardiola Mnene anaongoza Jahazi la Mnyama Mkali Mwituni Simba SCView attachment 2351175
Mpira unachezwa hadharani kama atakuwepo kwenye benchi iyo kesho si ataonekana tu, porojo za umbumbuni tushazichoka tunasubilia iyo kesho maana ata tff wamekuwa na makandokando mengi siku izi awaaminiki ata kidogoKocha Juma Mgunda atakuwepo kwenye benchi la ufundi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets na ndiyo anaongoza benchi zima la ufundi...
Mbona niliowaona ni washabiki wa simba wakitaka aondoke baada ya mechi ya KMC.Ninavyoona utopolo waking'ang'ania Babra aondoke ni sawa na Wana CCm walivyotaka Mbowe aondoke CDM...
Wale ni Utopolo waliokuja uwanjani... UsidanganyikeMbona niliowaona ni washabiki wa simba wakitaka aondoke baada ya mechi ya KMC.
Kwenye barua imetajwa coastal union? Au maumiv yameanza tayarTFF wanajiabisha, wao wanahusikaje kwenye mambo ya Simba na Coast?
Hata wele waliokuwa wakisema Guardiola hata vyeti walikuwa wakijua kabisa mpira unachezwa hadharani ila ni upotoshaji wao tuMpira unachezwa hadharani kama atakuwepo kwenye benchi iyo kesho si ataonekana tu, porojo za umbumbuni tushazichoka tunasubilia iyo kesho maana ata tff wamekuwa na makandokando mengi siku izi awaaminiki ata kidogo
Huyu nadhani ni wakufungia maishaHata wele waliokuwa wakisema Guardiola hata vyeti walikuwa wakijua kabisa mpira unachezwa hadharani ila ni upotoshaji wao tu
Nadhani hili hawajapenda yaani.
Huyo ni mgonjwa kuanzia ngozi yake mpka akili zimelemaaHuyu nadhani ni wakufungia maisha
Kulitaka mwana! mwana kulipata.Zile bhah bhah zenu kuwa hana vyeti muendelee kubaki nazo nyie wenyewe na wale wachambuzi wenu.
Guardiola Mnene ana leseni A ya CAF anaongoza Jahazi la Mnyama Mkali Mwituni Simba SCView attachment 2351175