Juma Mgunda atasimama kama Kocha Mkuu kwenye benchi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets

Juma Mgunda atasimama kama Kocha Mkuu kwenye benchi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets

Aden Lage aliwaita simba Mbumbumbu hakukosea... Mbumbumbu Wachawi FC naona mmelazimisha TFF wamuombee mgunda CAF ili akae benchi la ufundi aroge hakuna cha ziada... Mbumbumbu tupu
Pengine wamemwandika tu cheti hana, wamepeleka jina na hakufaulu.
 
Sasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].

Yani huyo mbuzi kafara kwa waganga, nae anapata nguvu za kushambulia mwonekano watu?
Jambo la kushangaza sana ngoja wamtafutie dawa watoto wa tanga
 
Aden Lage aliwaita simba Mbumbumbu hakukosea... Mbumbumbu Wachawi FC naona mmelazimisha TFF wamuombee mgunda CAF ili akae benchi la ufundi aroge hakuna cha ziada... Mbumbumbu tupu
Kama tumeilazimisha tff nyie mbwa wa utopoloni mnaumia nini
 
Tabu iko pale pale
Wachambuzi uchwara bna
Wachambuzi wasio na historia ya soka la kimataifa au la ndani? Mfano Eddoh na Shaffih wanahistoria gani ya soka la kucheza au ukocha tu wa mtaani?

Unapimuangalia Paul Scholes, Paul Ince , Michael Owen etc ndani ya Sky Sport utagundua wenzetu wanaamini ktk professionalism . Hapa kwetu tunawachumia tumbo tu
 
Huyu nadhani ni wakufungia maisha
Hawa hapa ndugu wa damu wa Kimwaga udugu
1661884050661.jpg
1661411950795.jpg
FB_IMG_1629996568355.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yule wa Simba Queen kaenda kufanya nin mkuu
Akwenda kuongeza nguvu tu, kwenye benchi la ufundi, kama Kocha wa viungo.

Simba hawana Kocha wa makipa wala wa viungo.
 
Zile bhah bhah zenu kuwa hana vyeti muendelee kubaki nazo nyie wenyewe na wale wachambuzi wenu.

Guardiola Mnene ana leseni A ya CAF anaongoza Jahazi la Mnyama Mkali Mwituni Simba SCView attachment 2351175
Manara anatumia nguvu nyingi kuwaaminisha wale utopolo kuwa ni yanga ndo maana anajitahidi kufanya lolote ili aonekane sio simba na amewakamata mazuzu maana kila kitu wanajua kweli watu wanaoenda airport kupakea team na kumbeba aliyekuwa mwenyekiti wao unadhani akili zinatoka wapi.
 
Nilivyoona tu lage nikajua wewe sio kati ya wale wawili wenye akili
Aden Lage aliwaita simba Mbumbumbu hakukosea... Mbumbumbu Wachawi FC naona mmelazimisha TFF wamuombee mgunda CAF ili akae benchi la ufundi aroge hakuna cha ziada... Mbumbumbu tupu
 
Kuna muda bora usiongee kuliko kuonyesha ujinga uliotukuka yani watu wengi ni wajinga na hawana akili. Ni kama wanashindana na TFF hivi kweli taasisi kama hyo isijue kuwa Juma hana leseni na uongozi wa Simba wenye wasomi isjue hilo bado watu wana andika ujinga ujinga tuu.
Wee undani wa hii ishu hapa ni kwamba inakuwaje hivyo vyeti wengine hawana? Yaani kuna watu walio faulu nae wao hawana vyeti na wamekuwa wakiomba wapatiwe vyeti vyao toka zamani wakawa wanazungushwa. So kwa kifupi ni kwamba inaoneka kuna upendeleo in the sense ya mgunda anapiganiwa na tff wakati wale wengine walivyokuwa wanaomba kupewa vyeti shirikisho halikuwapigania.
 
Wachambuzi wasio na historia ya soka la kimataifa au la ndani? Mfano Eddoh na Shaffih wanahistoria gani ya soka la kucheza au ukocha tu wa mtaani?

Unapimuangalia Paul Scholes, Paul Ince , Michael Owen etc ndani ya Sky Sport utagundua wenzetu wanaamini ktk professionalism . Hapa kwetu tunawachumia tumbo tu
Mchambuzi wa bongo ambae naweza kumsikiliza ni ibrahim Masoud maestro na jemwdari said au amri kiemba hawa walicheza mpira na wanaujua kuuchambua mpira ,sio hao kina privaldinho na genge lake
 
Wee undani wa hii ishu hapa ni kwamba inakuwaje hivyo vyeti wengine hawana? Yaani kuna watu walio faulu nae wao hawana vyeti na wamekuwa wakiomba wapatiwe vyeti vyao toka zamani wakawa wanazungushwa. So kwa kifupi ni kwamba inaoneka kuna upendeleo in the sense ya mgunda anapiganiwa na tff wakati wale wengine walivyokuwa wanaomba kupewa vyeti shirikisho halikuwapigania.
Nendeni CAS mkaishtaki CAF kuwa inaioendelea Simba.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nendeni CAS mkaishtaki CAF kuwa inaioendelea Simba.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sidhani kama hao watu wanamtazamo huo wa kwamba simba anapendelewa na caf. Wao ni kwamba ili utambulike vilivyo unahitaji cheti. Sawa na mtu amalize chuo aambiewe umefaulu pasipo cheti. Sasa ukienda kuomba kazi wakikwambia ambatanisha kivuli cha cheti inakuwaje?
 
Back
Top Bottom