OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
“Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba yule?... Ulitaka kuondoka kwake kunishtue nini? Labda mngeniambia Chama kaacha kucheza mpira na kujiunga na Diamond, au Alikiba tungejuliza ni kwanini? Chama ni mtu mzima, ana utimamu wake, heshimuni maamuzi ya mtu, sisi tunazungumza ya kwetu, kuitengeneza Simba.” – Juma Mgunda
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa!
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa!