MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Acheni makasiriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mnyama haswa. Ningeumia kama Chama angeenda Yanga kwa hela ndogo. Lakini kwa kuchota $150,000 ya usajili na $13,000 ya salary kila mwezi, hakika acha aende tu akachukue hela. Chama anachota sh. Milioni 776 kwa mwaka mmoja tu. Hiyo ni hela ndefu sana. Kwa lugha nyingine, Chama anatumia 3% ya bajeti yote ya Yanga ya msimu ujaoKama Mgunda ameumia kiasi Cha ku panic uku uswahilini Hali ni mbaya Sana.
Mwandalieni pensheni yake mapema naye asijekuwapeleka FIFA mkamlipa kwa aibu.Kama Mgunda ameumia kiasi Cha ku panic uku uswahilini Hali ni mbaya Sana.
Mchezaji wa Mpira ni muajiriwa na sio shabiki wa tumu hio...Ila nawasifu washabiki wa Simba, wameonyesha uelewa mkubwa Sana.
Nakumbuka Nyonzina alipohamia Simba baadhi ya mashabiki walichoma moto jezi zake lakini Simba wameacha lipite Kama tukio la kawaida.
Mpira wa Sasa mchezaji anatanguliza maslahi yake binafsi Mambo ya upenzi.wanaachiwa mashabiki ambao kwa uelewa mdogo wapo tayari wabishane, watukanane na wengine hata kupigana.
Mimi ni mnyama haswa. Ningeumia kama Chama angeenda Yanga kwa hela ndogo. Lakini kwa kuchota $150,000 ya usajili na $13,000 ya salary kila mwezi, hakika acha aende tu akachukue hela. Chama anachota sh. Milioni 776 kwa mwaka mmoja tu. Hiyo ni hela ndefu sana. Kwa lugha nyingine, Chama anatumia 3% ya bajeti yote ya Yanga ya msimu ujao
Heee ndo wamempa hela zote hizo. Jamaa wajinga kweliMimi ni mnyama haswa. Ningeumia kama Chama angeenda Yanga kwa hela ndogo. Lakini kwa kuchota $150,000 ya usajili na $13,000 ya salary kila mwezi, hakika acha aende tu akachukue hela. Chama anachota sh. Milioni 776 kwa mwaka mmoja tu. Hiyo ni hela ndefu sana. Kwa lugha nyingine, Chama anatumia 3% ya bajeti yote ya Yanga ya msimu ujao
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.View attachment 3033005
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa
Wajipange upyaaa!!