Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tatizo sio kutafuta timu ya kuirudisha , tatizo Ni itamlipa Bei gani?Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Mgunda sio mjinga au mtoto mdogo kiasi kwamba eti hajui anachofanya hadi ashauriwe humu JamiiForums. Aliposaini mkataba alijua anasaini nini, na atakapotaka kutoka anajua anatoka kwa nini, au atakapokuwa anaachwa anajua anaachwa kwa nini. Uzuri ni mtu mmoja muungwana sana, aliondoka Coastal Union akiwa anahitajika awe kocha mkuu, lakini akachagua kwenda Simba akawe kaimu Kocha mkuuHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi . Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Kwa hiyo Kaze ni uwezo mdogo?Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Mwambieni Kaze haya kwanzaHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
anarudi costoHuu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Bora iwe hivyoanarudi costo
mkuu wewe haya Mambo yasikuchoshe.dili nakatiba tuu.pambana tuipate katiba mpya mkuu...ccm wanatu yanyasa sana tunataka Raisi awe lisu.au unasemaje mkuu?Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Upo sahihi kabisaTatizo fedha, Unaweza Kuta hakuna timu inayoweza kumlipa vizuri kuliko anavyo lipwa Simba. Nayeye anafamilia inayo mtegemea. Bahati Mbaya Makocha wetu hawana connection nje ya Tanzania, Kwa Matokeo aliyoyapata akiwa Simba CV yake Ina shawishi.
[emoji38][emoji38][emoji38]mkuu wewe haya Mambo yasikuchoshe.dili nakatiba tuu.pambana tuipate katiba mpya mkuu...ccm wanatu yanyasa sana tunataka Raisi awe lisu.au unasemaje mkuu?
Mambo yasimba tuachie sisi.tunataka katiba mpya[emoji38][emoji38][emoji38]
Kipa gani mkuu? au kaseja karudi msimbazi?Uto huu usajili wa kipa unawauma mno
Diarra kasajiliwa SimbaKipa gani mkuu? au kaseja karudi msimbaz