Juma Mgunda usikubali kuwa kocha msaidizi , Uwezo wako ni mkubwa , tafuta timu uifundishe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .

Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
 
Tatizo sio kutafuta timu ya kuirudisha , tatizo Ni itamlipa Bei gani?

Kaze wa Yanga ana uwezo lakini salary ya Yanga ndio imemuweka kuwa kocha msaidizi
 
Tatizo fedha, Unaweza Kuta hakuna timu inayoweza kumlipa vizuri kuliko anavyo lipwa Simba. Nayeye anafamilia inayo mtegemea. Bahati Mbaya Makocha wetu hawana connection nje ya Tanzania, Kwa Matokeo aliyoyapata akiwa Simba CV yake Ina shawishi.
 
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi . Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Mgunda sio mjinga au mtoto mdogo kiasi kwamba eti hajui anachofanya hadi ashauriwe humu JamiiForums. Aliposaini mkataba alijua anasaini nini, na atakapotaka kutoka anajua anatoka kwa nini, au atakapokuwa anaachwa anajua anaachwa kwa nini. Uzuri ni mtu mmoja muungwana sana, aliondoka Coastal Union akiwa anahitajika awe kocha mkuu, lakini akachagua kwenda Simba akawe kaimu Kocha mkuu

1672747673979.png
 
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .

Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Kwa hiyo Kaze ni uwezo mdogo?

Akili visoda hiziii
 
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .

Nakushauri , usikubali kuwa msaidizi , tafuta timu nyingine ya Ligi kuu uifundishe, nina hakika utatoboa tu .
Mwambieni Kaze haya kwanza
 
anarudi costo
 
mkuu wewe haya Mambo yasikuchoshe.dili nakatiba tuu.pambana tuipate katiba mpya mkuu...ccm wanatu yanyasa sana tunataka Raisi awe lisu.au unasemaje mkuu?
 
Tatizo fedha, Unaweza Kuta hakuna timu inayoweza kumlipa vizuri kuliko anavyo lipwa Simba. Nayeye anafamilia inayo mtegemea. Bahati Mbaya Makocha wetu hawana connection nje ya Tanzania, Kwa Matokeo aliyoyapata akiwa Simba CV yake Ina shawishi.
Upo sahihi kabisa
 
mkuu wewe haya Mambo yasikuchoshe.dili nakatiba tuu.pambana tuipate katiba mpya mkuu...ccm wanatu yanyasa sana tunataka Raisi awe lisu.au unasemaje mkuu?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom